Rayvanny wa jamiiForums
Senior Member
- Apr 7, 2023
- 132
- 351
- Thread starter
- #61
Hivi yule mshkaji aliye tangaza kuwa amedata na wewe ulimkubalia au mlifikishana wapi?Ivo yaan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi yule mshkaji aliye tangaza kuwa amedata na wewe ulimkubalia au mlifikishana wapi?Ivo yaan
Mtu akitangaza ndiyo kaharibu,wenzie wanakuja kimyakimya😋Hivi yule mshkaji aliye tangaza kuwa amedata na wewe ulimkubalia au mlifikishana wapi?
Hivi mwanangu yule shemeji uliye kutana nae kwenye hotel ya nyota tano jijini arusha akiwa kachoka hoi vipi alikupigia tena?Mumchambe mpaka afe leo.
Kwahiyo jimbo lipo wazi sindiyo?Mtu akitangaza ndiyo kaharibu,wenzie wanakuja kimyakimya😋
Hapana mkuu,sijawahi kuwa single kiukweli 😜Kwahiyo jimbo lipo wazi sindiyo?
Sema unabahati au basiHapana mkuu,sijawahi kuwa single kiukweli 😜
Ulitaka unitafune live bila chenga ☺️Sema unabahati au basi
Me mbona mpole tuUlitaka unitafune live bila chenga ☺️
Hii tabia ya kuwapa hela watu ambao hawatudai we unainoje brooNambie kijana nini kimekukuta?
Tu?Sio kweli mkuu. Mpaka sasa mwezi unaisha nimeohonga 22k
Bora kula vilivyowekwaKuna wenzio wanapiga nyeto na bado njaa kali hawanyanyuki kokote wapo palepale..
🤣🤣sawasawa,Hii imeenda 😜Me mbona mpole tu
Mbona mchokozi hivyo🤣🤣sawasawa,Hii imeenda 😜
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umasikini wako unataka kusingia watoto wakike sasa..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We unawezaje kumpa hela ulizo zitafuta kwa jasho mtu ambae hakudai
Ok unaposema watu ambao hawatudai ni wa aina gani kwanza, mana kuna makaka, madada na wadogo wote si lazima wakuzaliwa nao.Hii tabia ya kuwapa hela watu ambao hawatudai we unainoje broo
Kwahiyo ujaelewa mada yangu? Inawazungumzia wakina naniOk unaposema watu ambao hawatudai ni wa aina gani kwanza, mana kuna makaka, madada na wadogo wote si lazima wakuzaliwa nao
Tunapiga tantalila tuu hapa mzeya rayvanny....lini unatoa nyimboNaona anakupiga mikwala huyo
Soon naachia "EP" yenye mikwaju minne ya nguvu vipi mtaipokea?Tunapiga tantalila tuu hapa mzeya rayvanny....lini unatoa nyimbo