Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba

Hii kitu hii, hii kitu hii, John Woka( R.I.P)alisema angekuwa na uwezo angeifekea mbali.
 
Hivi unapohonga lengo si papuchi tu?sasa kwanin kama una upwiru usiende site moja kwa moja ukajichagulie upge usepe kuliko kuanza kuhudumia mtoto wa mtu sijui gesi,chakula,salon mara kodi na wengne had kulipa ada dadeki!!!kuhonga ni maamuzi /utashi wako na pengne ujinga/upimbi wako.
 
Kweli kabisa aisee
 
Hovyo... wewe mwenyewe ni kapuku ndo maana unakutana na kapuku wenzio.
Ungekua na vijisenti ungekutana na wa tax bracket yako wala usingeona ni omba omba.
 
Back
Top Bottom