Vijana wengi hutafuta msaada wa kushikwa mkono lakini ikitokea wameshikwa huzichezea bahati na kufanya madudu

aisee umeongea jambo la msingi na kwa hisia hasa kwa sisi vijana tuliojiajiri tena kwakutumia nguvu,

umenikumbusha kipindi fulani hapo nyuma nilivyo jichanga nikapata kamtaji kidogo sana toka kwenye uvuvi nikaamuwa kutoka mkoani kwetu,

nika amuwa kwenda mbali kidogo nikaanzisha kigenge nikapambana mpaka likawa duka la mangi nzuri tuu
basi kutokana na kaubize kalikokuwepo

ikanirazim kutafuta kijana wakunisaidia hapo sasa ikawepo shida ya nani atakua sahihi ? coz kipindi chote napambana kuna baadhi ya vijana wenzangu tena marafiki niliwaacha mkoani hawana mbele wala nyuma na walikua wanalalamika hali ya maisha ni ngumu kwasababu hawana kazi

wengi wakinambia niwasaidie kama kuna Mishe, sasa kati ya hao vijana kuna jamaa mmoja yeye alikua nirafiki yangu tena wa muda mrefu tume haso sana na maisha
nikaamua kumvuta aje tupambane,

tukakubaliana mshahara na nikamuahidi kwanzia kula, kulala, Maradhi na mavazi itakua juu yangu basi tukaanza kuhaso, mwanzo alionesha upambanaji (nguvu ya soda) lakini baada ya muda fulani nilianza kuona mabadiriko ya kitabia na kibiashara, baadae nilikuja kugundua ananipiga (wizi wa pesa kiholela) na matumizi ya hovyo bila kusahau mademu dharau nk,

aiseeh nilijaribu kumshauri na kumkumbusha kuhusu maisha ya Bush yalivyokua magumu lakini hakunisikia, niliamua kumlipa mshahara wake kulingana na muda aliokua amefanya kazi japo kua nilikuja kugundua alikua akiiba pesa na kumtumia dadake amuhifadhie, nilicho mwambia ni kwamba pesa alizoniibia hazita msaidia chochote

tulimarizana hivo mimi nikaendelea kupambana na sikua na imani tena na vijana japo kua nina michongo kibao ambayo ninaweza kuwasaidia, lakini siwezi kwasababu hawana shukurani

huyo jamaa mpaka sasa maisha yamekwisha mpiga hasa hana kazi yupo yupo, maana alivyo ondoka alinikaushia akaniwekea majungu sana mtaani. lakini baada ya maisha kumpiga nimajuzi juzi alinitafuta tena analilia eti amepigika nimsaidie nilimjibu sina msaada apambane maisha ndio haya haya
 
Si mbaya ukitoa hiyo michongo kwa vijana wengine pia
 
tatizo wana haribiana sana hawajui kama vina patikana kwa kila aina ya shida, hata ukiwa unawapa story ya jinsi ulivyo hangaika kuvipata wanakuona jau.
hapa ninampango wakufungua biashara ambayo nitaajiri vijana wa kike nione wao wakoje
 
Tunarogwa sana aisee. Ukianza kushamiri kidogo mwanamke wako anakuroga ili usipate kusonga mbele usije ukamwacha.

Mama mkwe naye anakuroga ili uwe unamtetemekea yeye, awe mtawala wa familia yako na kipato chako.

Ndugu zako nao wanakuroga, unajidai sana wewe. Haya mauchawi yote hayo utafanyeje vizuri kazi ya watu (channel uliyoshikiwa mkono)?
Hadi unarogwa maana yake hujui Yesu alikuja duniani kufanya nini au?. Waite wachawi wooote duniani waambie waje waniroge Mimi waone mziki wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uko sahihi kabisa, sema muda mwingine na nyie ma boss mnatuzingua sana vijana kutaka tuwe ma chawa wenu. Matatizo mnatengeneza wenyewe halafu mnatuangushia sisi hizo lawama sio sahihi kabisa.

Sawa mnatusaidia lakini msifanye kama fimbo ya kutupigia kwakua tuna shida.

Ukiwa Kijana tumia Akili. Epuka mazoea yaliyopitiliza na Boss
 
Back
Top Bottom