lusanasaimon
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 108
- 264
aisee umeongea jambo la msingi na kwa hisia hasa kwa sisi vijana tuliojiajiri tena kwakutumia nguvu,
umenikumbusha kipindi fulani hapo nyuma nilivyo jichanga nikapata kamtaji kidogo sana toka kwenye uvuvi nikaamuwa kutoka mkoani kwetu,
nika amuwa kwenda mbali kidogo nikaanzisha kigenge nikapambana mpaka likawa duka la mangi nzuri tuu
basi kutokana na kaubize kalikokuwepo
ikanirazim kutafuta kijana wakunisaidia hapo sasa ikawepo shida ya nani atakua sahihi ? coz kipindi chote napambana kuna baadhi ya vijana wenzangu tena marafiki niliwaacha mkoani hawana mbele wala nyuma na walikua wanalalamika hali ya maisha ni ngumu kwasababu hawana kazi
wengi wakinambia niwasaidie kama kuna Mishe, sasa kati ya hao vijana kuna jamaa mmoja yeye alikua nirafiki yangu tena wa muda mrefu tume haso sana na maisha
nikaamua kumvuta aje tupambane,
tukakubaliana mshahara na nikamuahidi kwanzia kula, kulala, Maradhi na mavazi itakua juu yangu basi tukaanza kuhaso, mwanzo alionesha upambanaji (nguvu ya soda) lakini baada ya muda fulani nilianza kuona mabadiriko ya kitabia na kibiashara, baadae nilikuja kugundua ananipiga (wizi wa pesa kiholela) na matumizi ya hovyo bila kusahau mademu dharau nk,
aiseeh nilijaribu kumshauri na kumkumbusha kuhusu maisha ya Bush yalivyokua magumu lakini hakunisikia, niliamua kumlipa mshahara wake kulingana na muda aliokua amefanya kazi japo kua nilikuja kugundua alikua akiiba pesa na kumtumia dadake amuhifadhie, nilicho mwambia ni kwamba pesa alizoniibia hazita msaidia chochote
tulimarizana hivo mimi nikaendelea kupambana na sikua na imani tena na vijana japo kua nina michongo kibao ambayo ninaweza kuwasaidia, lakini siwezi kwasababu hawana shukurani
huyo jamaa mpaka sasa maisha yamekwisha mpiga hasa hana kazi yupo yupo, maana alivyo ondoka alinikaushia akaniwekea majungu sana mtaani. lakini baada ya maisha kumpiga nimajuzi juzi alinitafuta tena analilia eti amepigika nimsaidie nilimjibu sina msaada apambane maisha ndio haya haya