Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #121
Unaweza nambia kuwa mtoto aliyelelewa na wazazi wote2 analingana na aliyelelewa na na mzazi 1? Kama huna familia tulia hujui kitu weweKwamba malezi yanakua na tofauti gani ? Mbona tunaona vibaka wa mali za uma na banya Road kibao wametokea familia za baba na mama ?
Na unauhakika gani watoto wako mda wote wataishi na wewe na mke wako kwa pamoja mpaka watoke mikononi mwenu?
Sina cha kukujibu kwasababu umeonyesha kunijua sana , unalofikiri ndio jibu sahihi .Unaweza nambia kuwa mtoto aliyelelewa na wazazi wote2 analingana na aliyelelewa na na mzazi 1? Kama huna familia tulia hujui kitu wewe
Mfano wa panya rodi hayo ni matokeo ya ugomvi ndani ya familia na mtoto mwenyew wengine ni watukutu tu Kuna mifano Mingi ya watu maarufu hapa Tz na kwingineko Watoto wao wametumbukia kwenye madawa ya kulevya nk
Mfano mmoja wapo fatilia maisha ya mtoto wa Obama yule binti mkubwa anaitwa Sasha Obama kama sijakosea.
Hayo ni yenu huko mnaooa kisomi. Mimi hata ikitokea tumegawana na tuna Watoto hainipi shida. Ukiona eneo unaloishi Kuna issue za hivo kwann utumie majina Yako kuamdikisha miradi Yako? Huna Watoto? Huna mama mzazi? Tumieni hata akiri za shemeji Zenu basi kama Zenu zimeshafikia kikomo walio waolea dada Zenu vile wanavyoishi nao hata Leo.Ndoa zinazopigwa ni hizi za kitapeli hasa kwa wanaume wapambanaji ,ndoa za cheti na kutiana saini ,then badae inatumika kukumaliza.
Sawa.Yesu alikuwa shoga.
Sasa wakristo muache kuwasakama mashoga maana kiongozi wenu alikuwa shoga
SawaSina cha kukujibu kwasababu umeonyesha kunijua sana , unalofikiri ndio jibu sahihi .
mali zenyewe wazitolee wapi kama upeo wao mdogo tu... zaidi watakupa mifano ya watu wengine ila sio wao hapo alipo anaandika kataa ndoa akiwa keshatoka kuwekewa mjegeje karudi kwenye chumba chake cha 20k hakina hata umeme.Cha kusitikisha zaidi ukija kuangalia sababu zao hazina mashiko Wala umhimu wowote wengi wameegemea kwenye Mali.
Ahsantee Kwa ujumbe mzuri.Enyi watu mlioko kwenye ndoa,ishini kulingana na viapo vyenu,msivikiuke waziwazi na kufanya ambao hawajaingia kwenye ndoa,wakakata tamaa.
Una poo a ah kuolewa halafu bado unasaliti ndoa,unadhani unaleta picha gani kwa ambaye hajaoa au kuolewa?
Una pooa au kuolewa halafu unakula njama ya kumuondoa mwenza wako ili umiliki mali mwenyewe,inaleta picha gani kwa wale ambao hawako ndoani?
Unapoolewa na unaifanya ndoa yako inakua na watoto mseto,unadhani wanaojua siri hiyo wanaichukuliaje ndoa?
Tuishi kimaadili ili wale ambao hawamo kwenye ndoa,wahamasike kuingia.
Nakukumbusha tu kiongozi wako alikuwa ni shoga kwa mtazamo wako kwa wasio oaSawa.
Ahsantee Kwa taarifa.unalingine?
Tatzo lako haujibu hoja kama hoja unaenda kwenye kushambulia binafsi kama unamjua mtu , apo unapoteza sifa za kujadiliana kwa sababu unakua kihisia zaidi badala ya akili 🙏Hayo ni yenu huko mnaooa kisomi. Mimi hata ikitokea tumegawana na tuna Watoto hainipi shida. Ukiona eneo unaloishi Kuna issue za hivo kwann utumie majina Yako kuamdikisha miradi Yako? Huna Watoto? Huna mama mzazi? Tumieni hata akiri za shemeji Zenu basi kama Zenu zimeshafikia kikomo walio waolea dada Zenu vile wanavyoishi nao hata Leo.
Namba 3 is trueWengi wao
Vibamia
Mashoga
Hawawezi kitu
Wewe upo wapi[emoji1787][emoji1787]Wakataa ndoa na watetezi wa ndoa wote ni wajinga wajinga na hawajielewi!
Itakuwa kweli[emoji38][emoji38][emoji38]mali zenyewe wazitolee wapi kama upeo wao mdogo tu... zaidi watakupa mifano ya watu wengine ila sio wao hapo alipo anaandika kataa ndoa akiwa keshatoka kuwekewa mjegeje karudi kwenye chumba chake cha 20k hakina hata umeme.
Ndio nimekubaliana naww. Pia wewe ndo ulikuwa Basha wake?Nakukumbusha tu kiongozi wako alikuwa ni shoga kwa mtazamo wako kwa wasio oa
Hapana nafikiri labda Petro maana alimpenda sanaNdio nimekubaliana naww. Pia wewe ndo ulikuwa Basha wake?
Kama inajulikana kua wanandoa wataweza kua na watoto mseto,watakua wanafanya mapenzi nje ya ndoa,wanaweza kuuana ili kumiliki mali wenyewe(yaani mmoja wao) na mengine mengi,kuna haja ya viapo?Ahsantee Kwa ujumbe mzuri.
Lakini ukaenukijua kuwa hapa ni duniani hayo hayana budi kutokea hata kipindi Cha Musa Hadi yesu na mtume wazinzi walikuwepo tu
Thibitisha ili mkuu?mali zenyewe wazitolee wapi kama upeo wao mdogo tu... zaidi watakupa mifano ya watu wengine ila sio wao hapo alipo anaandika kataa ndoa akiwa keshatoka kuwekewa mjegeje karudi kwenye chumba chake cha 20k hakina hata umeme.