Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza


Hizi dini zilipaswa ziendane na tamaduni zetu za asili hapa ndipo tulipokosea
 
Sheria za nchi nyingi zimewekwa na wakristo wao ndio walikuwa wasomi toka enzi na wamesimika mfumo kristo karibia Dunia nzima , mpaka juzi tu karibia Dunia nzima imeshashangilia kalenda ya wakristo kuingia 2023 ya Yesu

Waislamu wanachofanya ni kujaribi kuingiza mfumo wao ndani ya mfumo wa wakristo ambao inamizizi mirefu tayari
 
Fatilia historia vizuri ujue mambo mengi yalianzia wapi,,unachoongelea ni kitu latest kabisa kwa historia ya dunia bado ni mambo machanga sana,,,,maarifa na mifumo mingi unayotumia kwa sasa yalianzia afrika na mashariki ya kati,hao wazungu ndo walikua jamii ya mwisho kabisa kustaarabika duniani, sema kwa sasa upepo upo upande wao na dunia ndo huenda hivyo hata ikija miaka hata 200 huko mbeleni mfumo utakuta umebadilika,,,,,,mifumo mingi na elimu nyingi za sasa zilianzia misri(kemet)na hapo mashariki ya kati sumerians.........maarifa kwa wazungu yalipitia kwa wagiriki ambao wengi walijifunza misri na wagiriki wakapitisha maarifa yao kwa warumi ambao ndo wakatengeneza mifumo yao hadi sasa kupitia hizo imani na maarifa mengine waliyobeba kutoka huko, jiulize kwa nini unatumia namba za kiarabu zaidi kuliko kutumia namba za kirumi,,,,,,na maarifa mengi yamebebwa na jamii husika na wala si imani husika.....na ndio maana jamii fulani ikitawala watu fulani basi watafata taratibu za hao watu,,,mifumo ya ukristo kushamiri sasa hivi ni sababu jamii fulani ,wakati fulani ndo ilishika mpini na mambo yakija kubadilika akija mwingine nae pia atasema mifumo iliopita haikua na maana acha tufafe hii
 
Reactions: Cyb
Kuna ndoa halali kabisa za kunaanza na mke mmoja, unaongeza wa pili, wa tatu na hata wanne baadaye udungadunga
 
,mifumo ya ukristo kushamiri sasa hivi ni sababu jamii fulani ,wakati fulani ndo ilishika mpini na mambo yakija kubadilika akija mwingine nae pia atasema mifumo iliopita haikua na maana acha tufafe hii
Ndio waislamu wakae kwa kutulia kwa sasa , shekh ponda alianzisha kampeni ya kupinga mfumo kristo kilicho mpata kinajulikana
 
Ndio waislamu wakae kwa kutulia kwa sasa , shekh ponda alianzisha kampeni ya kupinga mfumo kristo kilicho mpata kinajulikana
Mambo yanabadilika....................hasa upande wa mfumo wa elimu na ajira,,....maswala ya kujiajiri upande fulani ndo uko vizuri sana kuliko upande ule.................
 
Ndoa za kikristo ni kumuondolea uhuru wake wa asiili aliopewa mwanaume ndio maana michepuko imeanza kuonekana ni jambo la kawaida.

Ndoa za kiislamu mwanaume haondolewi uhuru wake inakuwa rahisi kuoa hata akiwa na miaka 22
Mara 22 huo sasa ni ujinga..!! Yaani wewe huyo huyo uowe mara 22 halafu ionekane hao uliowaacha ndo wana matatizo..!!!
 
Bila shule hawataweza..!!!
 
Sikiliza Bwana mdogo!. Unafanya makosa makubwa kuchanganya tamaduni na maamrisho ya Mungu.
Mbaya zaidi unalazimisha kufundisha kitu Usichokijua.
Ni sawa unikute mimi na Rozali yangu ninafundisha nama ya ku- practice talawee wakati hata sijui 😁😁.

Sikia:-
Mimi siongelei tamaduni mimi ninaongelea maamrisho na makatazo.
Msimamo wa biblia na Apocalypses zote Linapokuja swala la ndoa ni mke mmoja na Mme mmoja fullstop.

matendo/tamaduni ya Ibrah, Solomon ama Daud hazibatilishi chochote kuhusu agizo la ndoa lilitolewa na Mungu pale mwanzo.
Yesu alipoulizwa kuhusu ndoa hakumrejea Ibrahim, Solomon ama Daudi kama rejeo lake kuhusu Ndoa bali alirejea mwanzo kabisa pale Edeni akasema" Yeye aliyewaumba hao kutoka mwanzo(sio kutoka tamaduni za Ibrahim ama wana Waisrael) aliwafanya mwanamke na mwanaume". Kabla ya Ibrahim ama wana wa Israeli kujenga tamaduni zao yeye alikuwepo na ndiye mwasisi wa ilo agizo. Mungu didn't run out of options ikiwa alitaka adamu awe na wake wengi.
 
Kijana kaa chini ya mfumo kristo na utulie , huna uwezo wowote wa kutoa talaka
Hamna mfumo nyie makondoo manafuata wazungu wanapanga na kuamua muishi vip na bible mpya ipo tayar.
 
Hamna mfumo nyie makondoo manafuata wazungu wanapanga na kuamua muishi vip na bible mpya ipo tayar.

Wewe kaa chini ya mfumo kristo tulia, mfumo wote wa uongozi umetolewa kwenye biblia

Jifanye kuupinga uone
 
 
Wewe ni kafiri unayeongelea mambo usiyoyajua ..kwanza mtume hakuoa binti wa miaka sita..pila kinachozungumziwa ni ishu ya kuachana kama hakuna maelewano kwenye ndoa kwa upande wa dini ya kiislamu kama hakuna maelewano kwenye ndoa kuna ruhusa ya kuachana..sasa upande wa wakiristo umefunga ndoa baadae hakuna maelewano na mkewako amebadilika kitabu tofauti na mwanzo lakini bado hakuna ruhusa ya kuachana ..je huoni hili kama ni tatizo?
 
Acha kuongea usivovijua mzee. Ving hapo umeviongea kwa kuvisikia t
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…