OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kumbe kuolewa ni bahati eenhe!?Wamama wengi ni mamalishe, Mabinti wengi wanadanga tu, wale wenye bahati zao wameolewa
Hiyo ni ajira? π πTumeolewa na bodaboda [emoji2301]
Hiyo ni ajira? π π
Ndio maana hamlalamiki ukosefu wa ajira π πEee π«£
Ndio maana hamlalamiki ukosefu wa ajira π π
Wamejiajiri kuwapiga vibomu hao bodaLema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.
Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.
Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la vijana wa kike, ambao naamini ni wengi kuliko wa kiume, wamejiajiri kwenye nini? Serikali na wapambe wake watupe ufafanuzi wa kitakwimu.
Naomba koneksheni π πTuna hisa in big companies and Telecommunications industry
In such we are for big thing π
Si mpo kwenye ndoa, kila kitu mnapatiwa πNjaa tu hakuna kitu