Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

Na wengi asilimia 90 ana mtoto au watoto na ni single mama.

Kama alivyosema mdau mmoja hapo juu, wamejificha kwenye vibiashara vidogo vidogo...nowadays wadada mtaani ukimtaka anakuambia matatizo yake kwanza kabla ajatoa mzigo maanake usolve issue yake ndio mambo mengine.

Kwa kifupi wanawake wengi wanajiuza, wametofautiana style tu, sio mtaani, mavyuoni, maofisini n.k

Kila mwanamke ana bei yake, ukipanda hagomi.
 
Wanawake asilimia kubwa wameficha UMALAYA ktk Biashara ndg ndg mfano kuuza Ubuyu, kuuza Nguo na Viatu au Pochi Online, kuuza vipodozi na mambo kama hayo.

Ukitaka kuangukia pua we Mwanaume fanya Biashara kama zao utaona nini kinakukuta.

Hawategemei Biashara kuendesha Maisha yao bali wengi wao wanategemea Umalaya kuishi mjini.
Ni biashara pia Tena yenye wateja lukuki 😅😅
 
Na wengi asilimia 90 ana mtoto au watoto na ni single mama.

Kama alivosema mdau mmoja hapo juu, wamejificha kwenye vibiashara vidogo vidogo...nowadays wadada mtaani ukimtaka anakuambia matatizo yake kwanza kabda ajatoa mzigo maanake usolve issue yake ndio mambo mengine.

Kwa kifupi wanawake wengi wanajiuza,wametofautiana style tu, sio mtaani,mavyuoni,maofisini n.k

Kila mwanamke ana bei yake, ukipanda hagomi.
Wateja mpo 😅😅😅
 
Wateja mpo 😅😅😅
Tupo wateja, Mimi kwa experience naona hawa wanatupitishia sijui samaki, mboga mboga n.k majumbani, wakiingia nyumba watu wanakaa single wanagongwa sana, Mimi kuna kadhaa uwa wananiambia hela yako tu.
 
Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.

Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.

Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la vijana wa kike, ambao naamini ni wengi kuliko wa kiume, wamejiajiri kwenye nini? Serikali na wapambe wake watupe ufafanuzi wa kitakwimu.
Pupuchi
 
Wanawake asilimia kubwa wameficha UMALAYA ktk Biashara ndg ndg mfano kuuza Ubuyu, kuuza Nguo na Viatu au Pochi Online, kuuza vipodozi na mambo kama hayo.

Ukitaka kuangukia pua we Mwanaume fanya Biashara kama zao utaona nini kinakukuta.

Hawategemei Biashara kuendesha Maisha yao bali wengi wao wanategemea Umalaya kuishi mjini.
Wanawake wengi wanafanya biashara lakin ukifatilia kwenye hzo biashara zao wanapata faida kidogo sana na wengine hawapati faida kabisa ila kila siku unakuta wamo,hilo shimo la asili linawabeba sana
 
Back
Top Bottom