Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

Wanawake asilimia kubwa wameficha UMALAYA ktk Biashara ndg ndg mfano kuuza Ubuyu, kuuza Nguo na Viatu au Pochi Online, kuuza vipodozi na mambo kama hayo.

Ukitaka kuangukia pua we Mwanaume fanya Biashara kama zao utaona nini kinakukuta.

Hawategemei Biashara kuendesha Maisha yao bali wengi wao wanategemea Umalaya kuishi mjini.
Usiwaite wanawake Malaya,sio wote wanafanya hivyo
 
Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.

Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.

Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la vijana wa kike, ambao naamini ni wengi kuliko wa kiume, wamejiajiri kwenye nini? Serikali na wapambe wake watupe ufafanuzi wa kitakwimu.
Mbona wamejiajiri Kwenye Kazi nyingi tu,kuna Walioolewa(Mother houses),House girls,Bar maids,etc
 
Mbona mnamumunya manenoo!?.....

Wametegesha miili yao kwenye barbershops na massage parlors! Kama ajira iliyojirasimisha yenyewe ya kuuza kile kinachojiuza chenyewe!

Kupitia sumaku iliyoko machoni mwako (Me) baina ya mwili wake wenye kushawishi
 
Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.

Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.

Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la vijana wa kike, ambao naamini ni wengi kuliko wa kiume, wamejiajiri kwenye nini? Serikali na wapambe wake watupe ufafanuzi wa kitakwimu.
Wamejiajiri kwenye Bongo movie na kutikisa makalio kwenye makundi ya Insta,telegram pia wamejiajiri kama ''public figure'' kwenye mitandao ya kijamii. Ukitaka kufahamu vizuri muulize Kajala na mwanae.
 
Back
Top Bottom