Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
😀 Sasa wewe kwa mfano Ebitoke na nana_dollz wakija kukuuzia product yupi utanunua kwake? 😀 Hebu just imagine tu anakuja kukuuzia kitu complex kama gari utanunua la nani?
Exactly.... Na wanapeana vichwa kwa kujiita MALKIA WA NGUVU hali ya kuwa hiyo biashara inampa hasara ila Namna/Nyenzo nyingine inakwamua hilo swala.
Mwanamke si wa kushindana nae kbs ktk maswala ya Biashara hata kiuhalisia Akija mwanamke mzuri anauza kitu mara nyingi utanunua kile kitu kiunafki (Hujakipenda sana), ila utachukua mawasiliano hapo then ujaribu bahat yako. So automatically hajauza product moja hapo na Wanawake wapo very strategic tujiulize why ktk MABANK wanatumia warembo kwenda kushawishi wateja wachukue MIKOPO?!! au hata ktk hizo kampuni za Ndege wanachukua warembo tuu ndio ujue Umalaya na Biashara kwa Mwanamke ni pipa na mfuniko...