Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

Wanawake asilimia kubwa wameficha UMALAYA ktk Biashara ndg ndg mfano kuuza Ubuyu, kuuza Nguo na Viatu au Pochi Online, kuuza vipodozi na mambo kama hayo.

Ukitaka kuangukia pua we Mwanaume fanya Biashara kama zao utaona nini kinakukuta.

Hawategemei Biashara kuendesha Maisha yao bali wengi wao wanategemea Umalaya kuishi mjini.
Huo umalaya wanafanya na nani ? Maana wenye jinsia ya kiume asilimia kubwa kwa sasa ni mashoga.
 
Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.

Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.

Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la vijana wa kike, ambao naamini ni wengi kuliko wa kiume, wamejiajiri kwenye nini? Serikali na wapambe wake watupe ufafanuzi wa kitakwimu.
Saloon,mama ntilie
 
Hii ipo clear, wadada wengi wanauza uchi, na wachache sana waliojiajiri ktk shughuli ndogondogo
 
Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.

Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.

Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la vijana wa kike, ambao naamini ni wengi kuliko wa kiume, wamejiajiri kwenye nini? Serikali na wapambe wake watupe ufafanuzi wa kitakwimu.
Wakina dada wengi wanauza pafyumu na nguo
723898355.jpg
 
Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.

Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.

Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la vijana wa kike, ambao naamini ni wengi kuliko wa kiume, wamejiajiri kwenye nini? Serikali na wapambe wake watupe ufafanuzi wa kitakwimu.
Vijana wa kike ni wateja wa boda boda wa kiume!
Chanda na Pete. Muda wote 24/7
 
Sensa ya mwaka Jana tuliambiwa wanawake ni wengi kuliko wanaume. Na inaeleweka kwamba tatizo la ajira nchini na duniani kwa ujumla ni kubwa sana. Hii imepelekea hapa afrika hususan hapa kwetu Tz vijana wengi kujiingiza kwenye biashara isiyo rasmi..biashara ya bodaboda.

Kwa miji mikubwa Kama Dar es salaam bodaboda imekuwa Kama ndiyo Ajira ya vijana wengi ambao hawana ajira /kazi. Sasa hivi kila Kona in kijiwe Cha boda boda. Barababrani ndiyo usiseme Hadi kero kwa went magari na watembea kwa miguu.

Swali ni je;

Kama vijana wa kiume ndiyo hawa bodaboda,na wengine ni jobless tunashida tu vijiweni na mitandaoni,vipi vijana wa kike amabao ndiyo wengi zaidi ya wanaume wanafanya shughuli gani? Au wanajishughukisha na nini? Maana vijana wenyewe ndiyo hawa wanakataa juoayna wanaishia kuwazalisha watoto wa kike na kuongeza single Mama's.

Naona Kama tunapoongelea swala la ajira,mindset zetu zimejikita kwenye gender moja ya kiume.

Serikali inapopiga kelele vijana wajiajiri kwa sababu Hakuna ajira serikalini,ambao tunaona wanajiajiri ni vijana wa kiume, tena ajira ya boda boda.

Sasa Hawa watoto wa kike ambao hata kuolewa kwenyewe siku hizi imekuwa nadra,zaidi sana wanazalishwa na kuishia kulea watoto wenyewe pasi na malezi Wala matunzo ya baba,Hawa wanajishughulisha na nini ili maisha yao yaende? Waswahili wanasema ili mkono uende kinywani?
 
Wanauza dagaa,samaki,saidia mama ntilie,saloon za kike,wanadanga mchana na wengi usiku,baamedi tele etc
 
Mabinti wamefungiwa geto wanafua majinzi!
 
Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.

Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.

Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la vijana wa kike, ambao naamini ni wengi kuliko wa kiume, wamejiajiri kwenye nini? Serikali na wapambe wake watupe ufafanuzi wa kitakwimu.
Wala hamna haja ya kujiuliza wanaenda wapi, pita baa jioni utaona mijibaba inaata mvinyo na vibinti vya 17-24yrs, unaweza jua ni vibinti vyao ila wanavikula.
 
Wanawake asilimia kubwa wameficha UMALAYA ktk Biashara ndg ndg mfano kuuza Ubuyu, kuuza Nguo na Viatu au Pochi Online, kuuza vipodozi na mambo kama hayo.

Ukitaka kuangukia pua we Mwanaume fanya Biashara kama zao utaona nini kinakukuta.

Hawategemei Biashara kuendesha Maisha yao bali wengi wao wanategemea Umalaya kuishi mjini.
Hilo la kutembeza Nguo na Viatu ni kweli kabisa
 
Tupo wateja, Mimi kwa experience naona hawa wanatupitishia sijui samaki, mboga mboga n.k majumbani, wakiingia nyumba watu wanakaa single wanagongwa sana, Mimi kuna kadhaa uwa wananiambia hela yako tu.
Mitaa yenu wauza mboga na samaki wakali mkuu?

Aisee upwiru huu 🤔
 
Wanapita asub asub wanatukuta na hang over, huwa sizingatii sana uzuri muda huo.

Kadhaa wapo poa , unamwelekeza kuandaa samaki wabichi kazi,anakuambia narudi nitapika kabisa niungishe...sasa unafanyaje?
 
😂😂😂
Sikupingi Mkuu
 
Back
Top Bottom