Usiwaite wanawake Malaya,sio wote wanafanya hivyoWanawake asilimia kubwa wameficha UMALAYA ktk Biashara ndg ndg mfano kuuza Ubuyu, kuuza Nguo na Viatu au Pochi Online, kuuza vipodozi na mambo kama hayo.
Ukitaka kuangukia pua we Mwanaume fanya Biashara kama zao utaona nini kinakukuta.
Hawategemei Biashara kuendesha Maisha yao bali wengi wao wanategemea Umalaya kuishi mjini.
Soma vzr, alafu uniambie wapi nimesema neno WOTE.Usiwaite wanawake Malaya,sio wote wanafanya hivyo
Mbona wamejiajiri Kwenye Kazi nyingi tu,kuna Walioolewa(Mother houses),House girls,Bar maids,etcLema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.
Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.
Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la vijana wa kike, ambao naamini ni wengi kuliko wa kiume, wamejiajiri kwenye nini? Serikali na wapambe wake watupe ufafanuzi wa kitakwimu.
Wamejiajiri kwenye Bongo movie na kutikisa makalio kwenye makundi ya Insta,telegram pia wamejiajiri kama ''public figure'' kwenye mitandao ya kijamii. Ukitaka kufahamu vizuri muulize Kajala na mwanae.Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.