Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #41
Hahaahhakuna cha hela tangu utotoni wala nini
sema iyo jamaa iko dhaifu kwenye kutembeza rungu, waafrika wengi kwenye rungu wako vzr na hawana vibamia
izo jamii zinapenda biashara na magari huko wanavimba balaa
sisi ukishika hela na rungu iko vyema ni kutembeza tu
Kwamba wao Hawana ma Rungu? Au marungu yao yana Kasoro?hakuna cha hela tangu utotoni wala nini
sema iyo jamaa iko dhaifu kwenye kutembeza rungu, waafrika wengi kwenye rungu wako vzr na hawana vibamia
izo jamii zinapenda biashara na magari huko wanavimba balaa
sisi ukishika hela na rungu iko vyema ni kutembeza tu
Okay Okay nimekuelewa Tycoon
yana madhaifuKwamba wao Hawana ma Rungu? Au marungu yao yana Kasoro?
Yapi? Hawapigi vizuri? Mungu hakupi vyote?yana madhaifu
Wakishua mna jua historia yenu.Hela za familia hazina kelele, wengi wamezoea kuishi kwenye utajiri tokea utotoni.
"Old money isn't loud."
Ebu mkuu Jiheshimu kidogo😅mbona kama utafanyia mzaha wasukuma ugali ndo chakula cheti kikuu Mkanganyiko kukanganyaRangi nyeusi ukichunguza vizuri, kuna mifumo ilikosewa hasa kichwani!!
Anyway usikute kula ugali ndiyo chanzo cha yote😂😂
Acha tu niwe na pesa kupiga Ata dk moja fresh s ilmradi niridhike mimiYapi? Hawapigi vizuri? Mungu hakupi vyote?
Kama wewe Mungu angekwambia uchague kati ya Kupiga rungu na pesa ungechagua kipi?
runguYapi? Hawapigi vizuri? Mungu hakupi vyote?
Kama wewe Mungu angekwambia uchague kati ya Kupiga rungu na pesa ungechagua kipi?
dah mwanetu siku hizi una vimba😂🤣Kila mtu anafanya kinachompa furaha, hebu achana na sisi bro.
Btw supu ya kuku wa kienyeji ya leo ilikua ngumu ngumu, hoteli ya nyota 4 ila sijui walitoa wapi wale kuku.
Hahaharungu
Kumbe ni In born errors?Mtu mweusi hapatani na maisha mazuri Ila anapatana na Anasa.
HahahaHata huko India uhindini na Saudi Arabia hakuna Kelele Pia?
Biashara za magendo hua hazihitaji Show Off.. Jua hilo kuanzia leo
Mkuu umechefukwa hadi umesema wanajaza toiletee 🤣🤣Ni kweli kabisa ukizoea hela tangu utoto wala hazikupi shida zikiwa nyingi kwako pia
Nakumbuka Baba yetu tulipokuwa wadogo akiwa anataka kusafiri ataniita na kusema haya zipange hizi hela
Unakuwa umezizoea wala ile hali ya kuiba unakuwa huna kabisa wala hujui hiyo tabia
Sasa na sisi tumekuwa tumefuata zile tabia za wazazi walizotufundisha
Watoto wangu wana account zao za Bank niliwafungulia wakiwa wadogo sana
Vijana kama baba yako hakukuweka pazuri basi wewe waweke wanao pazuri au wewe mwenyewe jipambanie
Kwenye ngozi hii ina tatizo kubwa sana
Angalia mpaka majuu weusi ndio wamejaa jela kwa sababu hawajafundishwa
Leo mtu anakimbia majukumu ya mwanae aliezaa nje kisa hawezi kumuhudumia
Wengine wakataa ndoa
Yote haya ni kukosa nidhamu ya maisha
Kwa baba zenu mmekaa miaka zaidi ya 20 mnajaza Vyoo tu leo eti unaogoapa kuoa
Mwenye nidhamu ya hela utakuta hata mtoto wake wa miaka 10 ameisha muandalia nyumba yake na kumwambia mke hii ni nyumba ya flani
Kweli haya mawazo mtu aliemkimbia mtoto ataweza?
Pambana kijana huwezi kuwakuta hao wamejaa jela au wamekaa vijiweni siku nzima
Vibaya mno 😄 🤣Mkuu umechefukwa hadi umesema wanajaza toiletee 🤣🤣