Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

hakuna cha hela tangu utotoni wala nini
sema iyo jamaa iko dhaifu kwenye kutembeza rungu, waafrika wengi kwenye rungu wako vzr na hawana vibamia

izo jamii zinapenda biashara na magari huko wanavimba balaa

sisi ukishika hela na rungu iko vyema ni kutembeza tu
Hahaah
 
hakuna cha hela tangu utotoni wala nini
sema iyo jamaa iko dhaifu kwenye kutembeza rungu, waafrika wengi kwenye rungu wako vzr na hawana vibamia

izo jamii zinapenda biashara na magari huko wanavimba balaa

sisi ukishika hela na rungu iko vyema ni kutembeza tu
Kwamba wao Hawana ma Rungu? Au marungu yao yana Kasoro?
 
Yapi? Hawapigi vizuri? Mungu hakupi vyote?

Kama wewe Mungu angekwambia uchague kati ya Kupiga rungu na pesa ungechagua kipi?
Acha tu niwe na pesa kupiga Ata dk moja fresh s ilmradi niridhike mimi
 
Ukizaliwa pesa unaikuta huwezi kuwa na kelele. Wapo hata weusi wengi wana pesa kuliko fikra ya kawaida lakini huwezi hata kuhisi ukikutana nao.

Kazi ipo kwa kina Kasongo waliotoka kwenye ufukara, wanataka kila mtu ajue kuwa sio mafukara tena. Wanaishi na inferiority complex kuwa labda asipojionyesha watu watahisi ni fukara bado.
 
Hata huko India uhindini na Saudi Arabia hakuna Kelele Pia?

Biashara za magendo hua hazihitaji Show Off.. Jua hilo kuanzia leo
 
Pesa haihitaji kelele, pesa haihitaji mbwembwe...ukiipata tulia, zuia miwasho ya pesa. Na hayo ndio maisha.
 
Ni kweli kabisa ukizoea hela tangu utoto wala hazikupi shida zikiwa nyingi kwako pia
Nakumbuka Baba yetu tulipokuwa wadogo akiwa anataka kusafiri ataniita na kusema haya zipange hizi hela
Unakuwa umezizoea wala ile hali ya kuiba unakuwa huna kabisa wala hujui hiyo tabia

Sasa na sisi tumekuwa tumefuata zile tabia za wazazi walizotufundisha
Watoto wangu wana account zao za Bank niliwafungulia wakiwa wadogo sana
Vijana kama baba yako hakukuweka pazuri basi wewe waweke wanao pazuri au wewe mwenyewe jipambanie
Kwenye ngozi hii ina tatizo kubwa sana
Angalia mpaka majuu weusi ndio wamejaa jela kwa sababu hawajafundishwa
Leo mtu anakimbia majukumu ya mwanae aliezaa nje kisa hawezi kumuhudumia
Wengine wakataa ndoa
Yote haya ni kukosa nidhamu ya maisha
Kwa baba zenu mmekaa miaka zaidi ya 20 mnajaza Vyoo tu leo eti unaogoapa kuoa

Mwenye nidhamu ya hela utakuta hata mtoto wake wa miaka 10 ameisha muandalia nyumba yake na kumwambia mke hii ni nyumba ya flani
Kweli haya mawazo mtu aliemkimbia mtoto ataweza?

Pambana kijana huwezi kuwakuta hao wamejaa jela au wamekaa vijiweni siku nzima
Mkuu umechefukwa hadi umesema wanajaza toiletee 🤣🤣
 
Back
Top Bottom