GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo.

Tuikariri hii sura.
 
Utashangaa baada ya hii video kusambaa maUVCCM yanamtafuta huyu kijana na kumpora uhai wake na wakati huyu kijana anaonekana tu ana matatizo ya akili.
 
Kiazi mmoja katulia zake na vpn ambayo kuitumia ni kosa kisheria ,anachimba mikwara🚮
 
Wengine wanataka kuingia Kariakoo wakavune mali na kuchoma moto biashara za watu kwa kisingizio kwamba ni za Kikwete.
 
bila utawala mbovu hao vibaka kwa kiasi kikubwa wangekuwa kwenye office zao achen vitisho vya kijinga tunajua kuna lolote litatokea
 
Back
Top Bottom