DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Oct 23, 2025 #1 Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura. Your browser is not able to display this video.
Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura. Your browser is not able to display this video.
M Muhimbu JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 4,001 Reaction score 7,587 Oct 23, 2025 #2 Utashangaa baada ya hii video kusambaa maUVCCM yanamtafuta huyu kijana na kumpora uhai wake na wakati huyu kijana anaonekana tu ana matatizo ya akili.
Utashangaa baada ya hii video kusambaa maUVCCM yanamtafuta huyu kijana na kumpora uhai wake na wakati huyu kijana anaonekana tu ana matatizo ya akili.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Oct 23, 2025 #3 Kiazi mmoja katulia zake na vpn ambayo kuitumia ni kosa kisheria ,anachimba mikwara🚮
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 Oct 23, 2025 #4 Wengine wanataka kuingia Kariakoo wakavune mali na kuchoma moto biashara za watu kwa kisingizio kwamba ni za Kikwete.
Wengine wanataka kuingia Kariakoo wakavune mali na kuchoma moto biashara za watu kwa kisingizio kwamba ni za Kikwete.
Izy_Name JF-Expert Member Joined Apr 9, 2020 Posts 1,061 Reaction score 2,556 Oct 23, 2025 #5 bila utawala mbovu hao vibaka kwa kiasi kikubwa wangekuwa kwenye office zao achen vitisho vya kijinga tunajua kuna lolote litatokea
bila utawala mbovu hao vibaka kwa kiasi kikubwa wangekuwa kwenye office zao achen vitisho vya kijinga tunajua kuna lolote litatokea
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Oct 23, 2025 #6 RIP in Advance
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 23, 2025 #7 D day
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 23, 2025 #8 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw