Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo

iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia mtaji?

Mimi namiliki hii simu tangu December 2023 nimegundua ni simu ya kawaida sana na ningelijua hilo 5,000,000/= ile ningeifanyia mtaji

Simu hii sikununua kwa starehe bali mimi ni Developer kwahiyo lazima niwe na simu ya iOs na Android kwaajili ya kufuatilia Products zangu
IMG_1785.jpeg

1000003034.jpg
20240702_133204.jpg
1000003036.jpg

IMG_1786.png
 
Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo

iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia mtaji?

Mimi namiliki hii simu tangu December 2023 nimegundua ni simu ya kawaida sana na ningelijua hilo 5,000,000/= ile ningeifanyia mtaji

Simu hii sikununua kwa starehe bali mimi ni Developer kwahiyo lazima niwe na simu ya iOs na Android kwaajili ya kufuatilia Products zangu
View attachment 3031496View attachment 3031498View attachment 3031499
Kuna kitu sijakielewa hadi sasa, ni kitu gani kinawafanya kila version ya simu inapotoka mnaikimbilia?
Kwangu mimi hizi devices hadi ni nunue nyingine basi niwe nimekaa nayo kuanzia angalau miaka mtatu onwards.
 
Back
Top Bottom