iPhone 15 Pro Max sio simu ya kawaida kama unavyosema. Inategemeana na unavyoitumia. Pengine matumizi yako ndio yanafanya uone ni simu ya kawaida sana ila kwa wanaotumia power ya hiyo simu to the maximum wanajua what is it capable of. Sina iPhone na sijawahi kutumia iPhone yoyote kwa sababu sio mpenzi wa iOS ila as much as I have a lot of informations kuhusu hizo simu kupitia sources mbalimbali, nasema hiyo simu ni flagship na kamwe haiwezi kuwa ya kawaida kiasi hicho
1. Tukianza na gsmarena. iPhone 15 Pro Max ipo kwenye list of best gaming phones. iOS ipo more optimized for gaming kuliko Android, unfortunately kama wewe sio heavy gamer unaweza usijue uwezo wa iPhone yako ulivyo licha ya kuitumia kila siku
Last updated: October 19, 2024 (Changelog) Phones have gradually replaced so many standalone devices we used to rely on, so why not take over our...
www.gsmarena.com
2. GSMArena wameitaja iPhone 15 Pro Max kwenye list ya best flagship 2024. Kumbuka hii simu imetoka 2023 ila bado ina compete na flagship nyingi hadi za mwaka huu
Last updated: February 23, 2025 (Changelog) If you are after the very best on the smartphone market, you've come to the right section of this buyer's...
www.gsmarena.com
3. GSMArena wanaitaja iPhone 15 Pro Max kwenye list ya simu zenye kamera bora 2024. Naendelea kukukumbusha kuwa simu hii imetoka mwaka 2023 ila bado inaendelea kufunika wapinzani mwaka 2024
Best camera phones 2024 - buyer’s guide
4. iPhone 15 Pro Max imetajwa kwenye list ya simu zinazotunza sana chaji na GSMArena.
Phones with best battery life 2024 - buyer’s guide
5. Hawa ni phone reviewers wakubwa YouTube, na hii video kila mmoja anataja simu ambayo anaona inamfaa kuliko simu zote. Kumbuka hawa wamepata chance ya kutumia simu nyingi na kwenye reviews zao unaweza kuta wana point out weakness nyingi za Apple ila mwisho wa siku inabaki kuwa simu pendwa kwao. Kwenye hii video karibia asilimia 70 au 80 ya reviewer wanasema iPhone 15 Pro/ Pro Max ndio simu bora kwao
View: https://youtu.be/66GvVvQ8Oho?si=15uyc81Pxoif5ziU
6. iOS nayo ni selling point. Angalia hii video uone iPhone yako ina uwezo wa kufanya nini kupitia software. Wabongo wengi wanaonunua simu expensive hawajui hata simu zao zinaweza kufanya nini. Pia iOS 18 imeleta features nyingi ambazo zilikuwepo kwenye Android kabla. Sasahivi iPhone zina vitu vingi kama Android tu. Moving icons wherever you want, changing themes, screen mirroring, video out using USB Type C 3
View: https://youtu.be/RrzZ1bZEHlc?si=-khlXpjw9Rq7yKq7
7. Upande wa akili bandia angalia vitu ambavyo iPhone 15 Pro Max inaweza kufanya kupitia Apple Intelligence
Apple Intelligence helps you write, express yourself, and get things done effortlessly. All while setting a brand-new standard for privacy in AI.
www.apple.com
8. Watu wanaonunua iPhone wana sababu nyingi za kuwavutia kufanya hivyo. Watu hufanya research kabla ya kununua simu. Achana na wabongo wengi wanaonunua iPhone kwa ajili ya fashion.
10 reasons you should buy an iPhone in 2024 | Digital Trends
9. Resale value???
10. Lastly sio kila sehemu iPhone 15 Pro Max inauzwa milioni 5
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.com
a.aliexpress.com
Hauwezi kuniambia simu yenye vyote hivyo ni simu ya kawaida, labda kama hujui how capable your phone is.
Sasa kama ulinunua iPhone kisa umemwona Zuchu anatumia, hiyo inakula kwako. Unapata simu ambayo selling point zake zote huzijui na kumbe sio hata zile unazozipa kipaumbele