Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo
iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia mtaji?
Mimi namiliki hii simu tangu December 2023 nimegundua ni simu ya kawaida sana na ningelijua hilo 5,000,000/= ile ningeifanyia mtaji
Simu hii sikununua kwa starehe bali mimi ni Developer kwahiyo lazima niwe na simu ya iOs na Android kwaajili ya kufuatilia Products zangu
View attachment 3031608
View attachment 3031496View attachment 3031498View attachment 3031499
View attachment 3031611