Shimba na sisi wa infinix smart 6 je...
Daah kweli kabisa hapa nimeelewa sasa...Wala usijekubabaishwa na iPhone ndugu yangu wale wanauzia jina ni simu ya kawaida sana
Unawashauri nini vijana wanaopenda iPhone kutoka kwa wazee wa hovyo eg wazee wa jf (mod)Bado mnajadili brand za simu tu πΆ nikajua tuko new era ya mwaka wa fedha hizo tabia hazitokuwepo.
Unawashauri nini vijana wanaopenda iPhone kutoka kwa wazee wa hovyo eg wazee wa jf (mod)
Ahahahhah daah wazeee wa hovyo wapo humu humuHehe kwamba mod wanagawa iPhone π unachokitafuta utakipata
Inategemea na matumizi ya mtu, wengine hupenda muonekano, wengine sauti, wengine camera, matumizi, wengine security n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Samsung noters are the real Odugwus" By Obi Cubana.
Kuna kitu sijakielewa hadi sasa, ni kitu gani kinawafanya kila version ya simu inapotoka mnaikimbilia?Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo
iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia mtaji?
Mimi namiliki hii simu tangu December 2023 nimegundua ni simu ya kawaida sana na ningelijua hilo 5,000,000/= ile ningeifanyia mtaji
Simu hii sikununua kwa starehe bali mimi ni Developer kwahiyo lazima niwe na simu ya iOs na Android kwaajili ya kufuatilia Products zangu
View attachment 3031496View attachment 3031498View attachment 3031499