Vijana Wenzangu, Connection za Maisha zipo Bar na Kwenye Viwanja!

hii nchi Ina vijana wa hovyo wewe sio miongoni mwa vijana wa hovyo.. unaakili nyingi amini nakuambia!
 
point kabisa mkuu.mi ilinitokea asee kila jioni niko baa nakunywa soda,nilizoeana na madc,waku wamapolisi, unakuta baada ya kulewa anakwambia wekijana mbona unatinga hapa kila siku unamchongo gani? anasema umemaliza kidato changapi? unavyeti? ukijibu ndio anakutukana anakwambia kilevi kesho uje ofini kuna usaili wa kaz flani ole wako ukose nakufata huko huko kwenu,aisee baa kuna siri na michongo mingi asee sema raia hawajui, na namba za wakuu kibao sababu ya kwenda baa japo sio mnywaji.sha saidiwa sana sababu ya baa.saf sana mkuu kwa mada yako
 
Bar connection labda za uwizi tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…