Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Nilianza kwendea mtaji Bar mpaka mtaji umekata sijapata hiyo connection [emoji26][emoji26]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii nchi Ina vijana wa hovyo wewe sio miongoni mwa vijana wa hovyo.. unaakili nyingi amini nakuambia!Usikae tu home na vijiwe viisvyo maana.
Hata kama sio Mlevi, Toka nenda Kiwanja ambacho unajua wastaarabu wanakaa.
Huko ukutane na RC, DC, RAS, DAS, DED na Ma CEO mbalimbali. Hawa watu typically ni Walevi, ni wanywaji Pombe haswaa, nahuko Niko wanakutana kupeana michongo.
Sio lazima unywe, wewe nenda hakikisha una Hela mfukoni. Alafu ukifika Agiza Juisi hata ya Azam.
Chungulia chungulia mazingira, Muagizieee Mzee Fulani yule aliyekaa pale , au wazee Fulani walokaa pale , au Jamaa fulan wanaokunywa vitu mdogdogo wakionekana wanajadili!
Muagize tu Muhudumu, Kamuongezee yule Mzee pale, akikuuliza, mwambie Yule kijana palee!!
Hapo utajenga Uhusiano na watu bila kujua na ndo Connection iyo!
Nimewaibia Siri!
Sa unapataje hela na huna kazi?Tafuten hela kaz zipo nyingi
Mkono mtupu haulambwi mkuuSa unapataje hela na huna kazi?
Mimi ni mtumishi wa umma sasa. Mungu ambariki sanaElezea Kwa undani
HongeraMimi ni mtumishi wa umma sasa. Mungu ambariki sana