Kaka umefanya kosa kubwa litakuja kukugharimu mbeleni demu Huwa apigwi biti mkuu Akisha jua kuwa muda wowote utamtimia na umemwambia kwa kinywa chako akigundua Kuna kitu atapoteza yeye atakuwahi wewe hapo ndo utakuwa mwisho wako usiludie kumtisha utaondolewa labda USIWE na Mali mkuu tumeona mengi Kuna mzee alikua na mpango wa kuoa mke wa pili yule maza alivo msoma TU akampiga stroke acha tuUmepgwa eeeh..hata hao wa kutoka home na hawajui club na pombe ni hatari kuliko niulizen mimi na mlokole yaliyonikuta nmejfunza kuwa katili sn kwa wanawake si ukatili wa kupga hapana yan ukatili wa kutomwangalia mara 2, kutokujali, wkt wowote nakuacha ninaish na mwanamke lakn huwa anajua kbs muda wowote anatembea sina mzaha, nlimpa principles zng kabla hajaingia ndan aktoka nje ya mstari ajue hapa kwangu pamemshnda na ninasmamia hapo, dunia na wanawake hawana huruma na mwanaume na wanapambana kummaliza, leo hii wanawake 99.9% anakuja kwako amelenga ulichonacho yaan vitu vyako na ni wajanja sn kwny kukusoma kama una tija kwny vitu hata kama huna atakusoma kujua kama ipo sku utapata, ni wavumilivu sn wakshajua una vitu wanavyohtaji utapga sn lakn haend kwao ataenda atarud tn maana una ktu anachohtaji si wewe over over anayebsha na abshe tu..wanawake na dunia ni YUDA kwa kiumbe aitwaye mwanaume.
FactKaka umefanya kosa kubwa litakuja kukugharimu mbeleni demu Huwa apigwi biti mkuu Akisha jua kuwa muda wowote utamtimia na umemwambia kwa kinywa chako akigundua Kuna kitu atapoteza yeye atakuwahi wewe hapo ndo utakuwa mwisho wako usiludie kumtisha utaondolewa labda USIWE na Mali mkuu tumeona mengi Kuna mzee alikua na mpango wa kuoa mke wa pili yule maza alivo msoma TU akampiga stroke acha tu
Wanawake wanaofanya kazu Bar wanaamini yale maisha ya kutumbua pombe na nyama ndio maisha halisi kumbe hawajui tunaenda kutumbua siku moja moja kujipongeza lakini sio kwamba ndio maisha yetu kila sikuUkiingia kwenye penzi hili halika unapoteza Nguvu yako ya uanaume sababu ndoa hiyo lazima iwe na miyeyusho Dharau za kutosha na pia kukutolea mifano ya wanaume wengine ambao amewaona club.Nini ufanye Vuta Geto au lodge Chapa kimbia mbio nyingi saana.Ila kama unapenda Drama mzuka Tu.
Mzee huu uongo stroke hailetwi na mtu wala uchawiKaka umefanya kosa kubwa litakuja kukugharimu mbeleni demu Huwa apigwi biti mkuu Akisha jua kuwa muda wowote utamtimia na umemwambia kwa kinywa chako akigundua Kuna kitu atapoteza yeye atakuwahi wewe hapo ndo utakuwa mwisho wako usiludie kumtisha utaondolewa labda USIWE na Mali mkuu tumeona mengi Kuna mzee alikua na mpango wa kuoa mke wa pili yule maza alivo msoma TU akampiga stroke acha tu
Nimelipata goma moja matata sana, naisoma ramani nione mwisho wakeDunia haina huruma Kwa mwanaume Sasa wewe muonee huruma mwanamke WA bar au club ndio utajua nini maana ya maumivu.
Ushauri wa kijinga ...ukioa au kuchagua mke basi kigezo kikuu kiwe ni watoto na maslai ya watoto . Siyo kitumbua na kulinda kitumbua.Habari wakuu.
Hapa naongea na Vijana we zangu
Wanaoitafuta miaka 40
Na wale wanao jitafuta kimaisha miaka 25+
Kama ulikuwa na wazo la kuoa wewe mchizi wangu au umemuacha mke wako/mpenzi wako Kwa sababu mbalimbali na badae unafikiria kuoa tena basi weka akilini kwako hii mchizi wangu.
Kamwe usimpende mwanamke ambaye umemuona Bar au mwanamke mwenye status ya kuruka madebe yaani mwanamke ambaye tayari anakua club ni nini.
Ukiingia kwenye penzi hili halika unapoteza Nguvu yako ya uanaume sababu ndoa hiyo lazima iwe na miyeyusho Dharau za kutosha na pia kukutolea mifano ya wanaume wengine ambao amewaona club.Nini ufanye Vuta Geto au lodge Chapa kimbia mbio nyingi saana.Ila kama unapenda Drama mzuka Tu.
Wewe kijana mwenzangu kama una mpenzi au mke alafu unataka kumuoa hakikisha humpeleki club au sehemu yoyote yenye pombe maana macho huwa yakiona mara moja basi yanataka kurudia tena kuona.
Jitafute kijana ule pesa yako wale watoto wako wale wazazi wako ndugu ni swala la uamuzi wako.
Ndoa sio maigizo ndoa ni Roho ya Kweli.
Penye usaliti hakuna ndoa.
Penye Dharau hakuna ndoa.
OA binti anayetoka nyumbani kwao acha kufikiria kuoa binti anayetoka kwenye Geto Lake hahahahaha "utalia vibaya wewe"
Dunia haina huruma Kwa mwanaume Sasa wewe muonee huruma mwanamke WA bar au club ndio utajua nini maana ya maumivu.
Mwanamke Bikra
Mwanamke Bikra
Mwanamke Bikra
Hakika huyu anahitaji zawadi kubwa sababu amekupa heshima kubwa.
Mwanamke ukimkuta club beba loweka kimbia mbio.
Natafuta Ajira
Xi Jinping
Intelligent businessman
LiFe 2-point-0
Ndio nzuri ikae kichwani....Si unakumbuka hata shuleni hesabu kilikuwa kipindi cha kwanza?Kaka, sasa ni saa kumi alfajiri
Hatari kabisa.Umepgwa eeeh..hata hao wa kutoka home na hawajui club na pombe ni hatari kuliko niulizen mimi na mlokole yaliyonikuta nmejfunza kuwa katili sn kwa wanawake si ukatili wa kupga hapana yan ukatili wa kutomwangalia mara 2, kutokujali, wkt wowote nakuacha ninaish na mwanamke lakn huwa anajua kbs muda wowote anatembea sina mzaha, nlimpa principles zng kabla hajaingia ndan aktoka nje ya mstari ajue hapa kwangu pamemshnda na ninasmamia hapo, dunia na wanawake hawana huruma na mwanaume na wanapambana kummaliza, leo hii wanawake 99.9% anakuja kwako amelenga ulichonacho yaan vitu vyako na ni wajanja sn kwny kukusoma kama una tija kwny vitu hata kama huna atakusoma kujua kama ipo sku utapata, ni wavumilivu sn wakshajua una vitu wanavyohtaji utapga sn lakn haend kwao ataenda atarud tn maana una ktu anachohtaji si wewe over over anayebsha na abshe tu..wanawake na dunia ni YUDA kwa kiumbe aitwaye mwanaume.
Uchawi na ndoa ni kidevu na shabu kamwe haviwezi kukaa Mbali pamojaKaka umefanya kosa kubwa litakuja kukugharimu mbeleni demu Huwa apigwi biti mkuu Akisha jua kuwa muda wowote utamtimia na umemwambia kwa kinywa chako akigundua Kuna kitu atapoteza yeye atakuwahi wewe hapo ndo utakuwa mwisho wako usiludie kumtisha utaondolewa labda USIWE na Mali mkuu tumeona mengi Kuna mzee alikua na mpango wa kuoa mke wa pili yule maza alivo msoma TU akampiga stroke acha tu
Mwanamke akishafanya ufuska wa kutosha, akaona ameanza kuchuja(mtaa umeanza kumkataa) anakimbilia kanisani kuokoka.Hatari kabisa.
Huyo mlokole past yake ulichunguza kabla?
Mana Hawa viumbe wanajua kuigiza saana
Sometimes wachungaji miyeyusho kweli 😂 wanaona Raha wanaume wakipeleka kesi za ndoa kwako zikasikilizwe.Mwanamke akishafanya ufuska wa kutosha, akaona ameanza kuchuja(mtaa umeanza kumkataa) anakimbilia kanisani kuokoka.
Sasa wewe umejitafuuuta weeeee umepata visenti kidogo mchungani anaanza kukufosi uoe na mke wanakutafutia