Vijana wenzangu msioe wanawake wa aina hii. Kumbukeni dunia haina huruma kwa mwanaume

Vijana wenzangu msioe wanawake wa aina hii. Kumbukeni dunia haina huruma kwa mwanaume

Wanawake wanaofanya kazu Bar wanaamini yale maisha ya kutumbua pombe na nyama ndio maisha halisi kumbe hawajui tunaenda kutumbua siku moja moja kujipongeza lakini sio kwamba ndio maisha yetu kila siku

Sasa wao wameshakuwa Corrupted
Ogopa Sana macho yakaiidanganya akili yako ni hatari saana
 
Sasa dem
Mkuu kwenye hili nakubaliana na wewe 100%, kuna demu mmoja nlikutana naye nyumba ya kupanga kipindi yuko chuo, nkawa najipigia kishkaji tuu baadaye tukaja kuwa in serious r/ship ila kuna tabia zake nkaja kuona hatutawezana, sasa cha kushangaza mpaka leo bado anaforce niendelee kuwa naye nlishamwambia ukweli kuwa mimi na yeye hatutawezana, ni mtu anapotea kama miezi miwili afu anarudi, me najilia mzigo tuu lakini nshajiwekea sitakaa nije kumuoa
u humtaki alafu una mla mkuu wewe🫵🫵🫵
 
Habari wakuu.

Hapa naongea na Vijana we zangu
Wanaoitafuta miaka 40

Na wale wanao jitafuta kimaisha miaka 25+

Kama ulikuwa na wazo la kuoa wewe mchizi wangu au umemuacha mke wako/mpenzi wako Kwa sababu mbalimbali na badae unafikiria kuoa tena basi weka akilini kwako hii mchizi wangu.

Kamwe usimpende mwanamke ambaye umemuona Bar au mwanamke mwenye status ya kuruka madebe yaani mwanamke ambaye tayari anakua club ni nini.

Ukiingia kwenye penzi hili halika unapoteza Nguvu yako ya uanaume sababu ndoa hiyo lazima iwe na miyeyusho Dharau za kutosha na pia kukutolea mifano ya wanaume wengine ambao amewaona club.Nini ufanye Vuta Geto au lodge Chapa kimbia mbio nyingi saana.Ila kama unapenda Drama mzuka Tu.

Wewe kijana mwenzangu kama una mpenzi au mke alafu unataka kumuoa hakikisha humpeleki club au sehemu yoyote yenye pombe maana macho huwa yakiona mara moja basi yanataka kurudia tena kuona.

Jitafute kijana ule pesa yako wale watoto wako wale wazazi wako ndugu ni swala la uamuzi wako.

Ndoa sio maigizo ndoa ni Roho ya Kweli.
Penye usaliti hakuna ndoa.
Penye Dharau hakuna ndoa.

OA binti anayetoka nyumbani kwao acha kufikiria kuoa binti anayetoka kwenye Geto Lake hahahahaha "utalia vibaya wewe"

Dunia haina huruma Kwa mwanaume Sasa wewe muonee huruma mwanamke WA bar au club ndio utajua nini maana ya maumivu.

Mwanamke Bikra
Mwanamke Bikra
Mwanamke Bikra
Hakika huyu anahitaji zawadi kubwa sababu amekupa heshima kubwa.

Mwanamke ukimkuta club beba loweka kimbia mbio.

Natafuta Ajira
Xi Jinping
Intelligent businessman
LiFe 2-point-0
Ushauri mfupi na mwema ni huu: KAMA BADO UNAJITAFUTA KWENYE MAISHA HAYA BASI USIFIKIRIE KUOA wala KUWA NA LOVE ATTACHEE.Piga Lipia Tembea. MAKE SURE NO STRINGS ATTACHED
 
Back
Top Bottom