Upi? 😹Kwisha habari yako.
Uli wimbo wa MB Dogo bado unauimbaga?
Kwa sababu hawana tofauti yoyote na nyie msio wa Bar ambao ni ombaomba, wabwetekaji na wapiga umbeya tu mnaoshinda insta na tiktok mkijibenua na kulamba lips.Inakuwaje unachukua mwanamke bar?
Endelea na uzinzi wako, ngoja aende kwa Mganga akufix.Mkuu kwenye hili nakubaliana na wewe 100%, kuna demu mmoja nlikutana naye nyumba ya kupanga kipindi yuko chuo, nkawa najipigia kishkaji tuu baadaye tukaja kuwa in serious r/ship ila kuna tabia zake nkaja kuona hatutawezana, sasa cha kushangaza mpaka leo bado anaforce niendelee kuwa naye nlishamwambia ukweli kuwa mimi na yeye hatutawezana, ni mtu anapotea kama miezi miwili afu anarudi, me najilia mzigo tuu lakini nshajiwekea sitakaa nije kumuoa
Kwa hivyo msichana akiishi kwa wazazi lazima atakuwa amejitunza?Watoto wa chuo aliyekwambia wamejitunza nani??
Mwenye comment hiyo fala we
Mkuuu chuoni hamna wanawake broKwa hivyo msichana akiishi kwa wazazi lazima atakuwa amejitunza?
Nimeishi kijijini na mjini. Nimefanya starehe sana jiji kubwa TZ. Nimeona wasichana wengi wakifanya yao wakiwa himaya ya wazazi. Tena wengine balaa kuliko wanaoishi ghetto.
Wengine wa kishua sana na bado walienda kujiuza viwanja wakitokea nyumbani kwa wazazi.
Na Sijasema kila aliye enda chuo basi huyo amejitunza. Kama ipo hiyo sehemu ninukuu. Nilimaanisha binti anaweza kusoma akapata nafasi ya kuajiriwa au kujiajiri akiwa mdogo sana sababu ya elimu. Hivyo akalazimika kutoka kwa wazazi mapema.
Comprehension kitu muhimu sana tunapojifunza kusoma shuleni.
SawaMkuuu chuoni hamna wanawake bro
Katika asilimia 100 basi asilimia 99 ni malaya
Ahsante
Sio bure huyo anatembezewa backJana nimekutana na wakutoka nyumbani anatatuu ya kipepeo kwenye ziwa ila nibikra🥱🥱
KarogwaOya wanangu kuoa ni bikra Tu.
Daah asee Jana Kuna Dogo katoa Barua ya uchumba Kwa single Maza alafu kaacha mke na watoto wawili.
Dogo Sjui karogwa Yule kummke
We jamaa unakamatika kirahisi sanaKwisha habari yako.
Uli wimbo wa MB Dogo bado unauimbaga?