Vijana wenzangu msioe wanawake wa aina hii. Kumbukeni dunia haina huruma kwa mwanaume

Mwanaume hata aoe bikira! Hata aheshimiwe kiasi gani! Lazima wakati fulani aangalie pembeni ili ku update mfumo wake wa kichwa kidogo cha chini, kilichonyimwa akili ya kufikiri. Bila ya kufanya hivyo, atakuwa ni mwanaume bwege nyumbani.

Nakuambia hivi kama mzee wa busara. Sasa ukipuuza busara zangu, shauri yako.
Upo sahihi Mzee wangu lakini hapa tunaona kabisa bikra ni utakaso kwenye ndoa
 
Una mawazo ya kizamani au umeathirika na maisha ya kijijini.
Kwa mfano msichana amesoma Hadi Uni ana miaka 22-24 ameajiriwa mbali na mahali wanapoishi wazazi wake. Ametulia anajiheshimu huwezi kumuoa sababu anaishi kwake siyo kwa wazazi wake?
Uliemuongelea sio mwanamke wa geto. Tafsiri ya mwanamke wa geto ni yule anaeondoka kwao na kwenda kupanga chumba/nyumba wakati hana kazi iliyomtoa kwao ya kumwezesha kumudu kujikinu kimaisha
 
Gheto maaana yake kushindwa kujitegemea?
Amesema usioe mwanamke anayekaa kwake bali umtoe nyumbani kwa wazazi wake.
Hizo nyingine nyongeza na mbwembwe za kunogesha maelezo yake.
BTW, gheto ni nini?
 
Kuna lugha ya mtaa, ambayo ukitaka itumike kama Kiswahili sanifu basi neno au sentensi italeta maana tofauti kabisa, mfano ukisema "foleni ya kufa mtu", kwa lugha ya mtaa maana yake foleni ndefu lakini kwa kiswahili sanifu mtu anaweza kujua ni foleni ambayo imesababishwa na kifo cha mtu.

Kwahiyo next time ukisikia neno "mwanamke wa geto" ujue ni hawa wakina dada waliotoka kwao kwenda kuoanga wakiwa hawana shughuli rasmi, and in most cases huwa wanaishi kwa kudanga na kuwapiga mizinga masimp wanaowashobokea
 
Umepgwa eeeh..hata hao wa kutoka home na hawajui club na pombe ni hatari kuliko niulizen mimi na mlokole yaliyonikuta nmejfunza kuwa katili sn kwa wanawake si ukatili wa kupga hapana yan ukatili wa kutomwangalia mara 2, kutokujali, wkt wowote nakuacha ninaish na mwanamke lakn huwa anajua kbs muda wowote anatembea sina mzaha, nlimpa principles zng kabla hajaingia ndan aktoka nje ya mstari ajue hapa kwangu pamemshnda na ninasmamia hapo, dunia na wanawake hawana huruma na mwanaume na wanapambana kummaliza, leo hii wanawake 99.9% anakuja kwako amelenga ulichonacho yaan vitu vyako na ni wajanja sn kwny kukusoma kama una tija kwny vitu hata kama huna atakusoma kujua kama ipo sku utapata, ni wavumilivu sn wakshajua una vitu wanavyohtaji utapga sn lakn haend kwao ataenda atarud tn maana una ktu anachohtaji si wewe over over anayebsha na abshe tu..wanawake na dunia ni YUDA kwa kiumbe aitwaye mwanaume.
Mkuu kwenye hili nakubaliana na wewe 100%, kuna demu mmoja nlikutana naye nyumba ya kupanga kipindi yuko chuo, nkawa najipigia kishkaji tuu baadaye tukaja kuwa in serious r/ship ila kuna tabia zake nkaja kuona hatutawezana, sasa cha kushangaza mpaka leo bado anaforce niendelee kuwa naye nlishamwambia ukweli kuwa mimi na yeye hatutawezana, ni mtu anapotea kama miezi miwili afu anarudi, me najilia mzigo tuu lakini nshajiwekea sitakaa nije kumuoa
 
Ukioa umekwenda na maji huyo ni jini
 
Una mawazo ya kizamani au umeathirika na maisha ya kijijini.
Kwa mfano msichana amesoma Hadi Uni ana miaka 22-24 ameajiriwa mbali na mahali wanapoishi wazazi wake. Ametulia anajiheshimu huwezi kumuoa sababu anaishi kwake siyo kwa wazazi wake?
Watoto wa chuo aliyekwambia wamejitunza nani??

Mwenye comment hiyo fala we
 
Solution USIOE
Hata bikra atagongwa na bodaboda..!!

Halafu ile bikra ni nyie mnaipa uzito, zingine tunawategeshea MAMBWA 😹😹🚮
 
Tatizo nakuheshimu binti mwenye Sauti Yake ya NNE na urembo wako
 
Umepgwa eeeh..hata hao wa kutoka home na hawajui club na pombe ni hatari kuliko niulizen mimi na mlokole yaliyonikuta nmejfunza kuwa katili sn kwa wanawake si ukatili wa kupga hapana yan ukatili wa kutomwangalia mara 2, kutokujali, wkt wowote nakuacha ninaish na mwanamke lakn huwa anajua kbs muda wowote anatembea sina mzaha, nlimpa principles zng kabla hajaingia ndan aktoka nje ya mstari ajue hapa kwangu pamemshnda na ninasmamia hapo, dunia na wanawake hawana huruma na mwanaume na wanapambana kummaliza, leo hii wanawake 99.9% anakuja kwako amelenga ulichonacho yaan vitu vyako na ni wajanja sn kwny kukusoma kama una tija kwny vitu hata kama huna atakusoma kujua kama ipo sku utapata, ni wavumilivu sn wakshajua una vitu wanavyohtaji utapga sn lakn haend kwao ataenda atarud tn maana una ktu anachohtaji si wewe over over anayebsha na abshe tu..wanawake na dunia ni YUDA kwa kiumbe aitwaye mwanaume.
dah! Umejua kunivunja mbavu mkuu!, sio kwa kicheko hiki
 
Saad umeanza lini hizi pigo? 😹😹
Pigo za kiwaki au sio.

Wee tulia Bana skuwezi umeshapigana vita zote ya Kwanza ya Dunia na ya pili.

Mimi kwako Sina kesi na Wewe.😂
 
Back
Top Bottom