Vijana wenzangu msioe wanawake wa aina hii. Kumbukeni dunia haina huruma kwa mwanaume

Kila mtu ashinde mechi zake. Sisi walevi na wala bata tumekubaliana kwa kauli moja wake zetu tutawapata Bar na kwenye night clubs! Hivyo tusipangiane maisha tafadhali.

Halafu dunia ya leo unataka tuoe wanawake mabikira ili tugundue nini? Bikira for what? Who are you? Where are you coming from?
 
OA binti anayetoka nyumbani kwao acha kufikiria kuoa binti anayetoka kwenye Geto Lake hahahahaha "utalia vibaya wewe"
Una mawazo ya kizamani au umeathirika na maisha ya kijijini.
Kwa mfano msichana amesoma Hadi Uni ana miaka 22-24 ameajiriwa mbali na mahali wanapoishi wazazi wake. Ametulia anajiheshimu huwezi kumuoa sababu anaishi kwake siyo kwa wazazi wake?
 
Daah umewaza parefu Kwa maneno Tu Ila uhalisia mwanamke akianza kujitegemea Kwa Muda mrefu basi KAA Kwa kutulia.
 
Mr blue mwanamke wake alimkuta bar na wako wote miaka kenda
Hii comment nilikuwa najua itakuja tu na Kweli.
Mfano wako hauna Nguvu mkuu.

Kwenye ndoa Kuna maneno makali kutoka Kwa wazazi hasa pale mwanaume anapotaka kuchukuwa maamuzi ya kumuacha mke.
Baba na mama au mmoja Kati Yao huwa anatoa maneno makali sababu ya kumtisha kijana wao.Kwahiyo kila akitaka kumuacha anafikilia maneno ya wazazi inabidi atulie Tu.

Mambo ni mengi mkuu watu wanaishi na wake zao kimwili Tu lakini kiroho hawapo kabisa.

Achana na mfano wa Mr blue kabisa na achana na maneno Yake unayoyaskia kwenye media akizungumzia ndoa Yake.
 
Mzee huu uongo stroke hailetwi na mtu wala uchawi
Una umri Gani mkuu? Tembea vijijini kaka angu, hujawahi kuona mtu atembei kisa mguu ume kakamaa? Nmimetumia neno stroke si halisia ila nilitaka nijenge taswira kichwani watu wanielewe mkuu, kumladhi mana ya kupalalalaizi ni kiungo flani kuto Fanya kazi yake kwa ufasaha, huyu mzee mguu mmoja na mkono havifanyi kazi, mguu umejikunja na mkono pia umejikunja, ALIKUA na Mali Hadi kafilisika mkuu Kuna kitu kinaitwa kipande ukipigwa kipande hutoboi jambo usilo kijua ni sawa na usiku wa Giza mkuu acha tu tuna mengi tumeyaona, ndugu yangu aliugua balaa tibu wapi na wapi tibu kumbe katupiwa ugonjwa na walio mtibu ndo walimwambia tatizo, mbona hao wanao bishia uchawi hawakumtibu?
 
Mimi basha hivyo nakuona kama mademu wawili mnasagana tu ungenihalika ningekushughulikieni three sam
Matusi huficha udhaifu wa MTU wa ndani.
Acha miyeyusho mkuu.
 
Una umri Gani mkuu? Tembea vijijini kaka angu, hujawahi kuona mtu atembei kisa mguu ume kakamaa? Nmimetumia neno stroke si halisia ila nilitaka nijenge taswira kichwani watu wanielewe mkuu, kumladhi mana ya kupalalalaizi ni kiungo flani kuto Fanya kazi yake kwa ufasaha, huyu mzee mguu mmoja na mkono havifanyi kazi, mguu umejikunja na mkono pia umejikunja, ALIKUA na Mali Hadi kafilisika mkuu Kuna kitu kinaitwa kipande ukipigwa kipande hutoboi jambo usilo kijua ni sawa na usiku wa Giza mkuu acha tu tuna mengi tumeyaona, ndugu yangu aliugua balaa tibu wapi na wapi tibu kumbe katupiwa ugonjwa na walio mtibu ndo walimwambia tatizo, mbona hao wanao bishia uchawi hawakumtibu?
Mkuu hatari saana nakumbuka Mzee wangu aliona ndege chumbani kwake na hajui alipoingilia akingalia kafunga mlango kafunga.

Alituita akasema naomba nipelekeni nyumbani.

Hapo hawana maelewana mazuri na mke wake...Ma mdogo.
Kila mtu ashinde mechi zake. Sisi walevi na wala bata tumekubaliana kwa kauli moja wake zetu tutawapata Bar na kwenye night clubs! Hivyo tusipangiane maisha tafadhali.

Halafu dunia ya leo unataka tuoe wanawake mabikira ili tugundue nini? Bikira for what? Who are you? Where are you coming from?
Baba mkubwa naona umekula gana unaskilizia stimu Tu😂.

Bikra anaraha Yake baba mkubwa maana unaoa binti ambaye amefundwa na kufugwa asee.

Mwanaume akiheshimiwa kwenye ndoa basi hawezi kuwaza Malaya wa nje.
 
Mkuu hatari saana nakumbuka Mzee wangu aliona ndege chumbani kwake na hajui alipoingilia akingalia kafunga mlango kafunga.

Alituita akasema naomba nipelekeni nyumbani.

Hapo hawana maelewana mazuri na mke wake...Ma mdogo.

Baba mkubwa naona umekula gana unaskilizia stimu Tu😂.

Bikra anaraha Yake baba mkubwa maana unaoa binti ambaye amefundwa na kufugwa asee.

Mwanaume akiheshimiwa kwenye ndoa basi hawezi kuwaza Malaya wa nje.
Mwanaume hata aoe bikira! Hata aheshimiwe kiasi gani! Lazima wakati fulani aangalie pembeni ili ku update mfumo wake wa kichwa kidogo cha chini, kilichonyimwa akili ya kufikiri. Bila ya kufanya hivyo, atakuwa ni mwanaume bwege nyumbani.

Nakuambia hivi kama mzee wa busara. Sasa ukipuuza busara zangu, shauri yako.
 
Mkuu hatari saana nakumbuka Mzee wangu aliona ndege chumbani kwake na hajui alipoingilia akingalia kafunga mlango kafunga.

Alituita akasema naomba nipelekeni nyumbani.

Hapo hawana maelewana mazuri na mke wake...Ma mdogo.

Baba mkubwa naona umekula gana unaskilizia stimu Tu😂.

Bikra anaraha Yake baba mkubwa maana unaoa binti ambaye amefundwa na kufugwa asee.

Mwanaume akiheshimiwa kwenye ndoa basi hawezi kuwaza Malaya wa nje.
Mkuu uchawi kwenye ndoa upo tena haswa, tena Hawa madada wa mjini waogope kama ukoma, ni wawangaji balaa wanaaoga dawa hatari
 
Back
Top Bottom