Upo sahihi Mzee wangu lakini hapa tunaona kabisa bikra ni utakaso kwenye ndoaMwanaume hata aoe bikira! Hata aheshimiwe kiasi gani! Lazima wakati fulani aangalie pembeni ili ku update mfumo wake wa kichwa kidogo cha chini, kilichonyimwa akili ya kufikiri. Bila ya kufanya hivyo, atakuwa ni mwanaume bwege nyumbani.
Nakuambia hivi kama mzee wa busara. Sasa ukipuuza busara zangu, shauri yako.
Uliemuongelea sio mwanamke wa geto. Tafsiri ya mwanamke wa geto ni yule anaeondoka kwao na kwenda kupanga chumba/nyumba wakati hana kazi iliyomtoa kwao ya kumwezesha kumudu kujikinu kimaishaUna mawazo ya kizamani au umeathirika na maisha ya kijijini.
Kwa mfano msichana amesoma Hadi Uni ana miaka 22-24 ameajiriwa mbali na mahali wanapoishi wazazi wake. Ametulia anajiheshimu huwezi kumuoa sababu anaishi kwake siyo kwa wazazi wake?
Gheto maaana yake kushindwa kujitegemea?Uliemuongelea sio mwanamke wa geto. Tafsiri ya mwanamke wa geto ni yule anaeondoka kwao na kwenda kupanga chumba/nyumba wakati hana kazi iliyomtoa kwao ya kumwezesha kumudu kujikinu kimaisha
Kuna lugha ya mtaa, ambayo ukitaka itumike kama Kiswahili sanifu basi neno au sentensi italeta maana tofauti kabisa, mfano ukisema "foleni ya kufa mtu", kwa lugha ya mtaa maana yake foleni ndefu lakini kwa kiswahili sanifu mtu anaweza kujua ni foleni ambayo imesababishwa na kifo cha mtu.Gheto maaana yake kushindwa kujitegemea?
Amesema usioe mwanamke anayekaa kwake bali umtoe nyumbani kwa wazazi wake.
Hizo nyingine nyongeza na mbwembwe za kunogesha maelezo yake.
BTW, gheto ni nini?
Mkuu kwenye hili nakubaliana na wewe 100%, kuna demu mmoja nlikutana naye nyumba ya kupanga kipindi yuko chuo, nkawa najipigia kishkaji tuu baadaye tukaja kuwa in serious r/ship ila kuna tabia zake nkaja kuona hatutawezana, sasa cha kushangaza mpaka leo bado anaforce niendelee kuwa naye nlishamwambia ukweli kuwa mimi na yeye hatutawezana, ni mtu anapotea kama miezi miwili afu anarudi, me najilia mzigo tuu lakini nshajiwekea sitakaa nije kumuoaUmepgwa eeeh..hata hao wa kutoka home na hawajui club na pombe ni hatari kuliko niulizen mimi na mlokole yaliyonikuta nmejfunza kuwa katili sn kwa wanawake si ukatili wa kupga hapana yan ukatili wa kutomwangalia mara 2, kutokujali, wkt wowote nakuacha ninaish na mwanamke lakn huwa anajua kbs muda wowote anatembea sina mzaha, nlimpa principles zng kabla hajaingia ndan aktoka nje ya mstari ajue hapa kwangu pamemshnda na ninasmamia hapo, dunia na wanawake hawana huruma na mwanaume na wanapambana kummaliza, leo hii wanawake 99.9% anakuja kwako amelenga ulichonacho yaan vitu vyako na ni wajanja sn kwny kukusoma kama una tija kwny vitu hata kama huna atakusoma kujua kama ipo sku utapata, ni wavumilivu sn wakshajua una vitu wanavyohtaji utapga sn lakn haend kwao ataenda atarud tn maana una ktu anachohtaji si wewe over over anayebsha na abshe tu..wanawake na dunia ni YUDA kwa kiumbe aitwaye mwanaume.
Ukioa umekwenda na maji huyo ni jiniMkuu kwenye hili nakubaliana na wewe 100%, kuna demu mmoja nlikutana naye nyumba ya kupanga kipindi yuko chuo, nkawa najipigia kishkaji tuu baadaye tukaja kuwa in serious r/ship ila kuna tabia zake nkaja kuona hatutawezana, sasa cha kushangaza mpaka leo bado anaforce niendelee kuwa naye nlishamwambia ukweli kuwa mimi na yeye hatutawezana, ni mtu anapotea kama miezi miwili afu anarudi, me najilia mzigo tuu lakini nshajiwekea sitakaa nije kumuoa
Tangu lini yameanza kuwa na mwongozo???? !๐ค
Watoto wa chuo aliyekwambia wamejitunza nani??Una mawazo ya kizamani au umeathirika na maisha ya kijijini.
Kwa mfano msichana amesoma Hadi Uni ana miaka 22-24 ameajiriwa mbali na mahali wanapoishi wazazi wake. Ametulia anajiheshimu huwezi kumuoa sababu anaishi kwake siyo kwa wazazi wake?
nilikuita kitambo skusoma mastaUliemuongelea sio mwanamke wa geto. Tafsiri ya mwanamke wa geto ni yule anaeondoka kwao na kwenda kupanga chumba/nyumba wakati hana kazi iliyomtoa kwao ya kumwezesha kumudu kujikinu kimaisha
Ninyi mnajifanya mmekula yaminiTangu lini yameanza kuwa na mwongozo???? !๐ค
dah! Umejua kunivunja mbavu mkuu!, sio kwa kicheko hikiUmepgwa eeeh..hata hao wa kutoka home na hawajui club na pombe ni hatari kuliko niulizen mimi na mlokole yaliyonikuta nmejfunza kuwa katili sn kwa wanawake si ukatili wa kupga hapana yan ukatili wa kutomwangalia mara 2, kutokujali, wkt wowote nakuacha ninaish na mwanamke lakn huwa anajua kbs muda wowote anatembea sina mzaha, nlimpa principles zng kabla hajaingia ndan aktoka nje ya mstari ajue hapa kwangu pamemshnda na ninasmamia hapo, dunia na wanawake hawana huruma na mwanaume na wanapambana kummaliza, leo hii wanawake 99.9% anakuja kwako amelenga ulichonacho yaan vitu vyako na ni wajanja sn kwny kukusoma kama una tija kwny vitu hata kama huna atakusoma kujua kama ipo sku utapata, ni wavumilivu sn wakshajua una vitu wanavyohtaji utapga sn lakn haend kwao ataenda atarud tn maana una ktu anachohtaji si wewe over over anayebsha na abshe tu..wanawake na dunia ni YUDA kwa kiumbe aitwaye mwanaume.
Saad umeanza lini hizi pigo? ๐น๐นTatizo nakuheshimu binti mwenye Sauti Yake ya NNE na urembo wako
Falah weeh!! ๐น๐นPigo za kiwaki au sio.
Wee tulia Bana skuwezi umeshapigana vita zote ya Kwanza ya Dunia na ya pili.
Mimi kwako Sina kesi na Wewe.๐
Hapa Sasa inabidi nisitongoze Tena Zaidi ya kusema Oya njoo Muda tuchonge mana unajua nini nataka.Falah weeh!! ๐น๐น
Nasubiri WW3
๐น๐น๐น Ntakuchapa.Hapa Sasa inabidi nisitongoze Tena Zaidi ya kusema Oya njoo Muda tuchonge mana unajua nini nataka.
mshamba_hachekwi njoo umuone shemeji yako huku anavyo tiririka