Vijana wenzangu msioe wanawake wa aina hii. Kumbukeni dunia haina huruma kwa mwanaume

Oya wanangu kuoa ni bikra Tu.

Daah asee Jana Kuna Dogo katoa Barua ya uchumba Kwa single Maza alafu kaacha mke na watoto wawili.

Dogo Sjui karogwa Yule kummke
 
Inakuwaje unachukua mwanamke bar?
Kwa sababu hawana tofauti yoyote na nyie msio wa Bar ambao ni ombaomba, wabwetekaji na wapiga umbeya tu mnaoshinda insta na tiktok mkijibenua na kulamba lips.
 
Endelea na uzinzi wako, ngoja aende kwa Mganga akufix.
 
Watoto wa chuo aliyekwambia wamejitunza nani??

Mwenye comment hiyo fala we
Kwa hivyo msichana akiishi kwa wazazi lazima atakuwa amejitunza?
Nimeishi kijijini na mjini. Nimefanya starehe sana jiji kubwa TZ. Nimeona wasichana wengi wakifanya yao wakiwa himaya ya wazazi. Tena wengine balaa kuliko wanaoishi ghetto.
Wengine wa kishua sana na bado walienda kujiuza viwanja wakitokea nyumbani kwa wazazi.
Na Sijasema kila aliye enda chuo basi huyo amejitunza. Kama ipo hiyo sehemu ninukuu. Nilimaanisha binti anaweza kusoma akapata nafasi ya kuajiriwa au kujiajiri akiwa mdogo sana sababu ya elimu. Hivyo akalazimika kutoka kwa wazazi mapema.
Comprehension kitu muhimu sana tunapojifunza kusoma shuleni.
 
Mkuuu chuoni hamna wanawake bro

Katika asilimia 100 basi asilimia 99 ni malaya

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…