Ukimsikiliza vizuri huyu daktare mkare mwenye wake wakaree kasema mwenyewe ni tamaa zake tu, ila akiwa anawaapproach anawaambia anawapenda ( so I think)Ndio maana kuna jamaa mmoj humu alisema kwao wao (huyo jamaa) Waislam mwanamke ni chombo cha starehe na si vinginevyo.