Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
Oooh!! wew ni mwisilamu, sawa baki na iman yako.Natii amri ya Allah, baada ya kukidhi vigezo.
Oooh!! wew ni mwisilamu, sawa baki na iman yako.Natii amri ya Allah, baada ya kukidhi vigezo.
Suala lililopo Ni wivu tu.Nawajua wanawake waislam wameshika dini haswaa ila habari ya uke wenza kwao hawataki hata kuisikia.
Mimi siwezi hilo kamwe
Ndio maana binadamu amepewa utashi. Kumlinganisha binadamu na mbuzi au kuku si sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu na abebe mambo yake kichwani mwake.
Mim nikiwa na wake wawili nakujua laizima naweza kumpenda mmoja zaidi ya mwingine, kwani hawatafanana wasichana hao.
Sihitaki dhambi hiyo ya mke wangu mmoja kunung'unika kuwa na mpenda mmoja zaidi.
Na niwazi hilo likitokea Mungu hutoa adhabu.
Tofauti yake hii itakuwa ni Foursome, hesabu vizuriHivi hii inatofauti gani na Threesome??
#Bagwell
Yani pesa bwana acheni iitwe pesa,dokta mwaka ana wake wa 3 Halafu hiyo haitoshi ila hawa wake watatu wanapendana kiasi kwamba mke mdogo anaweza msuka nywele mke mkubwa,Dokta anaweza lala nao wote kitanda kimoja.
Haya mabalaa ya namna hii ndgu zangu vijana tusije mfanya dokta kama rolu modo wetu,tutakuja sababisha mengine,kwanza wake wa3 wote hao kweli hii kumbe inawezekana? kweli kua uyaone.
Mwaka dokta kweli ana haki ya kuitwa dokta ila ombi langu kwenu vijana ya dokta mwaka tumwachie dokta, sisi tupambane na hawa visulisuli wetu basi.
Wakiwa wengiMaisha ya mitandaoni hayo.. duniani majarbu yapo tu.
Na kuwa na wanawake wengi ni kujichosha tu, mmoja mwenyewe shughuli, wakiwa wengi inakuaje.?
Pia ni mashine za haja, ya kumiliki mmoja tu Kama huyo ni shughuliHalafu wakeze warembo
Sasa ncha kali wew jikute roboot kuwa utawapenda wote kwa usawa.Acha kupotosha umma, kiumbe chochote cha kiume kina wajibu wa ‘kupanda’ majike kwa wingi.... jifunze kwa viumbe ambao akili zao hazijadukuliwa.
Binadamu ameoshwa ubongo, amekuwa programmed in a way kwamba anaishi maisha ya kanuni za watu wengine... hujawahi hata kufuga kuku na hata mbuzi utuambie unatumia uwiano gani madume kwa majike..?
Kadri binadamu anavyoacha kuishi maisha yake halisi na kuendekeza kanuni za kufundishwa, ndiyo ladha ya maisha inazidi kupotea.... eti leo kidume Suriya anahubiri kula ‘wengi’ ni kujichosha..!![emoji15][emoji15]
Kila mtu na abebe mambo yake kichwani mwake.
Mim nikiwa na wake wawili nakujua laizima naweza kumpenda mmoja zaidi ya mwingine, kwani hawatafanana wasichana hao.
Sihitaki dhambi hiyo ya mke wangu mmoja kunung'unika kuwa na mpenda mmoja zaidi.
Na niwazi hilo likitokea Mungu hutoa adhabu.
Sasa ncha kali wew jikute roboot kuwa utawapenda wote kwa usawa.
Acha siasa.[emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna usawa dunia hii, hata sehemu za mwili wako hauzipendi kwa usawa.... hata wewe kiujumla hujipendi kwa usawa kuna siku unajinyima na zipo siku unajipendelea.
Acha siasa.
Wew jiandae kwa adhabu zitokanazo na manung'uniko ya mke asiye pendwa zaidi.
Nikupe mfano wa adhabu utakazo pewa?