Vijana wenzangu tusimuige Dokta Mwaka tutakuja kusababisha mauaji ya Kimbari

Vijana wenzangu tusimuige Dokta Mwaka tutakuja kusababisha mauaji ya Kimbari

Martin Kemosabe

Senior Member
Joined
Jan 28, 2020
Posts
168
Reaction score
78
Yani pesa bwana acheni iitwe pesa,dokta mwaka ana wake wa 3 Halafu hiyo haitoshi ila hawa wake watatu wanapendana kiasi kwamba mke mdogo anaweza msuka nywele mke mkubwa,Dokta anaweza lala nao wote kitanda kimoja.

Haya mabalaa ya namna hii ndgu zangu vijana tusije mfanya dokta kama rolu modo wetu,tutakuja sababisha mengine,kwanza wake wa3 wote hao kweli hii kumbe inawezekana? kweli kua uyaone.

Mwaka dokta kweli ana haki ya kuitwa dokta ila ombi langu kwenu vijana ya dokta mwaka tumwachie dokta, sisi tupambane na hawa visulisuli wetu basi.

Maisha ya mitandaoni hayo.. duniani majarbu yapo tu.
Na kuwa na wanawake wengi ni kujichosha tu, mmoja mwenyewe shughuli, wakiwa wengi inakuaje.?
Mkuu unataka kusema ki uhalisia sio kweli? mimi naona ni kweli na huu ukweli nikwasababu dokta ana hela ila tofauti na hapo huu upendo usingekuwepo ila kwasasa naamini na ninakubali hawa viumbe wanapendana.
 
Sikatai hela anazo, wake zake bado wanaonesha wanampenda.

Lakin moyo wa mtu kichaka, huwezi kujua moyoni walivyo.

Ukiwa na hela unaweza kupedwa hata na wanawake 100.

Lakini jiulize hao wote unawataka wa nin?

NB; Dunian matatizo au majarbu hayachagui masiki wala tajiri.
 
Mbona tunashawishiana kuoa mke mmoja?
Kwa Nini kuoa wengi tukatazane?
Uoga wa maisha na kujikuta unatekeleza matakwa ya wanawake ndio kumewafanya wanaume wanaishi maisha ya shida Sana.
Mwingine unakuta anapewa sex Mara moja kwa mwezi naye anajiona ameoa.
Eti "tunalea watoto"
Watoto wenyewe kachomekewa wa2 Kati ya wa3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo unamaanisha nini sasa
 
Back
Top Bottom