Vijana wenzangu tusimuige Dokta Mwaka tutakuja kusababisha mauaji ya Kimbari

Acha kupotosha umma, kiumbe chochote cha kiume kina wajibu wa ‘kupanda’ majike kwa wingi.... jifunze kwa viumbe ambao akili zao hazijadukuliwa.

Binadamu ameoshwa ubongo, amekuwa programmed in a way kwamba anaishi maisha ya kanuni za watu wengine... hujawahi hata kufuga kuku na hata mbuzi utuambie unatumia uwiano gani madume kwa majike..?

Kadri binadamu anavyoacha kuishi maisha yake halisi na kuendekeza kanuni za kufundishwa, ndiyo ladha ya maisha inazidi kupotea.... eti leo kidume Suriya anahubiri kula ‘wengi’ ni kujichosha..!![emoji15][emoji15]
 
Lakin moyo wa mtu kichaka, huwezi kujua moyoni walivyo.
Haya ya moyoni, waachie wenyewe, sababu hata ukiombwa ushahidi huna.

Acha kushughulishwa na mambo ambayo yako nje uwezo wako.
Ukiwa na hela unaweza kupedwa hata na wanawake 100.

Na kinyume chake ni ukweli pia.
Lakini jiulize hao wote unawataka wa nin?

Kwanza dini yetu inaruhusu na ni jambo jema sana, bali kawaida sana.

Kwanza ukiwa na mke mmoja unaonekana sio muadilifu, kwa wale ambao wanajua nini maana ya kuoa wake wengi.

Mke mmoja kuwa nae kama huna vigezo vya kuongeza, ila kiasili sisi ni wa kuoa wanawake wengi.

Naelekea kuongeza mke mwingine hivi karibuni,nikijaaliwa.
NB; Dunian matatizo au majarbu hayachagui masiki wala tajiri.
Uko sahihi kabisa.
 
Haya ya moyoni, waachie wenyewe, sababu hata ukiombwa ushahidi huna.

Acha kushughulishwa na mambo ambayo yako nje uwezo wako.

Na kinyume chake ni ukweli pia.

Kwanza dini yetu inaruhusu na ni jambo jema sana, bali kawaida sana.

Kwanza ukiwa na mke mmoja unaonekana sio muadilifu, kwa wale ambao wanajua nini maana ya kuoa wake wengi.

Mke mmoja kuwa nae kama huna vigezo vya kuongeza, ila kiasili sisi ni wa kuoa wanawake wengi.

Naelekea kuongeza mke mwingine hivi karibuni,nikijaaliwa.

Uko sahihi kabisa.
Nitajie dhumuni moja wapo la muhimu ambalo wew litakufanya uongeze mke mwingine.
 
Nawajua wanawake waislam wameshika dini haswaa ila habari ya uke wenza kwao hawataki hata kuisikia.

Mimi siwezi hilo kamwe
Wazo zuri, kwani wivu ni asili ya mwanadamu.

Na mwanamume kupenda mke mmoja zaidi ya mke mwingine ni haikwepeki.

Na Mungu huliona hilo na kuamua kujibu kilio cha yule asie pendwa, Je unajua Mungu ataamua kufanya kipi?

Maamuzi yako mazuri dada wew.
 
Mkuu unataka kusema ki uhalisia sio kweli? mimi naona ni kweli na huu ukweli nikwasababu dokta ana hela ila tofauti na hapo huu upendo usingekuwepo ila kwasasa naamini na ninakubali hawa viumbe wanapendana.
Sema wanapenda pesa zake, kuna jamaa yangu alikuwa akimgegeda binti Fulani hafu akawa anamgegeda tena Dada yake, mkubwa mtu alikuwa akijua hiyo yote pesa tu
 
Acha kupotosha umma, kiumbe chochote cha kiume kina wajibu wa ‘kupanda’ majike kwa wingi.... jifunze kwa viumbe ambao akili zao hazijadukuliwa.

Binadamu ameoshwa ubongo, amekuwa programmed in a way kwamba anaishi maisha ya kanuni za watu wengine... hujawahi hata kufuga kuku na hata mbuzi utuambie unatumia uwiano gani madume kwa majike..?

Kadri binadamu anavyoacha kuishi maisha yake halisi na kuendekeza kanuni za kufundishwa, ndiyo ladha ya maisha inazidi kupotea.... eti leo kidume Suriya anahubiri kula ‘wengi’ ni kujichosha..!![emoji15][emoji15]
Kila mtu na abebe mambo yake kichwani mwake.

Mim nikiwa na wake wawili nakujua laizima naweza kumpenda mmoja zaidi ya mwingine, kwani hawatafanana wasichana hao.

Sihitaki dhambi hiyo ya mke wangu mmoja kunung'unika kuwa na mpenda mmoja zaidi.

Na niwazi hilo likitokea Mungu hutoa adhabu.
 
Ndio maana binadamu amepewa utashi. Kumlinganisha binadamu na mbuzi au kuku si sawa.
Acha kupotosha umma, kiumbe chochote cha kiume kina wajibu wa ‘kupanda’ majike kwa wingi.... jifunze kwa viumbe ambao akili zao hazijadukuliwa.

Binadamu ameoshwa ubongo, amekuwa programmed in a way kwamba anaishi maisha ya kanuni za watu wengine... hujawahi hata kufuga kuku na hata mbuzi utuambie unatumia uwiano gani madume kwa majike..?

Kadri binadamu anavyoacha kuishi maisha yake halisi na kuendekeza kanuni za kufundishwa, ndiyo ladha ya maisha inazidi kupotea.... eti leo kidume Suriya anahubiri kula ‘wengi’ ni kujichosha..!![emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom