Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

Mimi wa hivi ndo tunaendana, muda wote ni mboo tu...iwe jikoni,sebuleni, chumbani,uani sio mchana, asubuhi,jioni wala usiku ...ni mboo tu
Kila mtu anataka apate mke wa hivyo ila dah noma mzee wife material wengi kutoa mbunye full time kipengele.
 
Baada ya kutoka honeymoon, wanakuja kazini nguo zikiwa zimepasiwa vizuri na wamefungashiwa juice nzuri, baada ya mwezi wanakuja wakiwa rough, nywele hazijachanwa huku muda mwingi a a mawazo. Mtoa mada Kua uyaone
 
Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo

Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga kwa maneno matam na yenye kukutia moyo unapoenda kutafuta riziki.

Kila baada ya masaa 2 lazima ahakikishe hali yako huko, ukirudi unapokelewa vizuri na maneno ya pole na ahsante. Jaman hayo ni baadhi ya mazuri ya ndoa nawashangaa mnaogopa kuoa. Mwanamke anakupa ushauri mzuri na ukiufuata lazima tu ufanikiwe. Mke ndo anakuwa wa kwanza kuufariji pale unapokuwa na stress hakika tabasamu lake tu ni tiba ya mambo mengi kwangu.

Vijana wenzangu tusiogope kuoa tafuta yule unaempenda na yeye anakupenda hakika siku zote hutajutia kuoa.

Namalizia ndoa tamu, mke ni faraja ni chanzo cha mafanikio yako.

Usiogope kuoa
kaka nadhani ndoa yako ni changa. baada ya mwaka uje na mrejesho
 
🤣🤣🤣Weee endelea kufurahia honeymoon chief subiri shubiri aingie usije kutupa maneno yakutukatisha tamaa kila mtu ana okoto lake kapangiwa
 
Naona wewe bado ukiachia ushuzi unapewa pole siku si nyingi hutasema uyasemayo
 
Back
Top Bottom