Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena ukwel vijana waoe waache kuogopa ndoa ina raha yake sanaNi kweli ndoa ni kitulizo .vijana acheni kuhangaika kununua malaya mtakufa na ukimwi.kijana chagua mke unae mpenda oa ishi nae bila stress.ndoa ni cheap uzinifu ni ghali mno.kwanza wazinifu wanakufa mapema kwa msongo wa mawazo na kutokujali afya zao.
Hivi Unajua Kuna Mtu Anapitia Matatizo Ya Kimahusiano Na Mpenzi Wako...???[emoji23][emoji23][emoji23]nakazia hapa (ndoa tamu)
ila ni kama kila mmoja atasimama kwenye mstari wake
bwashee chunga sana mkeo asijue michepuko yako mana ndo chanzo cha ndoa kuwa chungu
Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo
Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga kwa maneno matam na yenye kukutia moyo unapoenda kutafuta riziki.
Kila baada ya masaa 2 lazima ahakikishe hali yako huko, ukirudi unapokelewa vizuri na maneno ya pole na ahsante. Jaman hayo ni baadhi ya mazuri ya ndoa nawashangaa mnaogopa kuoa. Mwanamke anakupa ushauri mzuri na ukiufuata lazima tu ufanikiwe. Mke ndo anakuwa wa kwanza kuufariji pale unapokuwa na stress hakika tabasamu lake tu ni tiba ya mambo mengi kwangu.
Vijana wenzangu tusiogope kuoa tafuta yule unaempenda na yeye anakupenda hakika siku zote hutajutia kuoa.
Namalizia ndoa tamu, mke ni faraja ni chanzo cha mafanikio yako.
Usiogope kuoa
Ndo mawazo yenu yapo hivyo ilajua mpaka uchapiwe wewe ndo chanzoUkishaanza kuchapiwa uje na uzi pia[emoji12]
Huo ni mwanzo tu naomba utunze huu uzi wako baadae uje utupe mrejesho vizuri kuhusiana na ndoa yako.Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo
Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga kwa maneno matam na yenye kukutia moyo unapoenda kutafuta riziki.
Kila baada ya masaa 2 lazima ahakikishe hali yako huko, ukirudi unapokelewa vizuri na maneno ya pole na ahsante. Jaman hayo ni baadhi ya mazuri ya ndoa nawashangaa mnaogopa kuoa. Mwanamke anakupa ushauri mzuri na ukiufuata lazima tu ufanikiwe. Mke ndo anakuwa wa kwanza kuufariji pale unapokuwa na stress hakika tabasamu lake tu ni tiba ya mambo mengi kwangu.
Vijana wenzangu tusiogope kuoa tafuta yule unaempenda na yeye anakupenda hakika siku zote hutajutia kuoa.
Namalizia ndoa tamu, mke ni faraja ni chanzo cha mafanikio yako.
Usiogope kuoa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]Mkuu fanya uoe,umri unaendaVijana muoe,hata dini zinasema kuoa ni neema na kutimiza neno la Mungu.angalizo; kila mtu aoe kwa risk zake mwenyewe,na naomba mtu asinishauri kuoa Mimi,tutagombana.
amini japo kwa shingo upande mkuuHamna ndoa ya hivyo bana we😅 ingekuwa hivyo kelele zisingefika mtandaoni humu! Ndoa kongwe zote zinapumulia mashine
Ndo mawazo yenu yapo hivyo ilajua mpaka uchapiwe wewe ndo chanzo
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Mke ulieoa kabila gani huyo ambaye analazmisha umle mbunye😂Ukioa unakua mtumwa wa familia kwaiyo Kuna maamuzi hutoyafanya binasfi ..
Ndoa tamu ila inazeesha haraka .. usiku hulali unaamshwa ule mbususu ata Kama huna mood kesho yake unaanza kusinzia kwenye dala dala , kazini ,kwenye mikutano ,nk ..
Ukioa Kama ulikua na ndugu 20 ghafla wataongezeka nakua 40 . . Sim za shida zitaongezeka .. utaanza kutumia akili yako kwa 100.10% ukizaa kiwango kinapanda unaanza kuwaza zaidi kwakutumia akili mara 2 yake ..
NB: ndoa ni tamu .
wewe acha .. Ni usumbufu tu [emoji16]Mke ulieoa kabila gani huyo ambaye analazmisha umle mbunye[emoji23]
[emoji1787]Mwaka 2024 tukiwa hai inshallah uzi utasomeka "mwanamke amebadilika baada ya miaka miwili ya ndoa je nifanyaje"
😆😆 HAHAHAHH!Ukioa unakua mtumwa wa familia kwaiyo Kuna maamuzi hutoyafanya binasfi ..
Ndoa tamu ila inazeesha haraka .. usiku hulali unaamshwa ule mbususu ata Kama huna mood kesho yake unaanza kusinzia kwenye dala dala , kazini ,kwenye mikutano ,nk ..
Ukioa Kama ulikua na ndugu 20 ghafla wataongezeka nakua 40 . . Sim za shida zitaongezeka .. utaanza kutumia akili yako kwa 100.10% ukizaa kiwango kinapanda unaanza kuwaza zaidi kwakutumia akili mara 2 yake ..
NB: ndoa ni tamu .
Mimi wa hivi ndo tunaendana, muda wote ni mboo tu...iwe jikoni,sebuleni, chumbani,uani sio mchana, asubuhi,jioni wala usiku ...ni mboo tuMke ulieoa kabila gani huyo ambaye analazmisha umle mbunye[emoji23]
Kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukishaanza kuchapiwa uje na uzi pia[emoji12]