Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

Hahahahahah kakosea kuoa sio
Ndiyo maana yake, kwenye ndoa usifanye ujuaji, kina mjeda aliambiwa huyo dada humuwezi kasema yeye mjeda kilichompata kidogo watoane roho, ile ndoa zamani sana haipo sahizi kila mtu anamwenzie mpya na walikuwa na watoto 3/4 hivi
 
Ndoa ni jambo jema lenye heri kinachofanyaga watu waione chungu ni vile watu kutaka kuwa ka bachelor, au kipindi cha uchumba na miezi ya mwanzo ku fake, then Ile fake zone ikiisha Sasa watu wanaonyesha true colors zao ndio malalamiko huwa chungu nzima, so ndoa ni nzuri ila ups and downs ni za kawaida so kukitokea changamoto haimaanishi ni utakatifu
 
Wakuu Ndoa ni tamu ndiyo ndoa ni tamu kwan kuna mtu anabisha kwenye hilo

Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga kwa maneno...
Mmmm kumbe kuna mambo mazuri Sana huko hadi umenitamanisha
 
Naona unavowapotosha ndugu zako...

2025 naomba uje utupe update ya mambo yako ya NDOA yanaendaje....

Vijana Ndoa ni scam,,, msiwe trapped....mtakuja kulialia humu
 
Ndoa ni jambo jema lenye heri kinachofanyaga watu waione chungu ni vile watu kutaka kuwa ka bachelor, au kipindi cha uchumba na miezi ya mwanzo ku fake, then Ile fake zone ikiisha Sasa watu wanaonyesha true colors zao ndio malalamiko huwa chungu nzima, so ndoa ni nzuri ila ups and downs ni za kawaida so kukitokea changamoto haimaanishi ni utakatifu

Theory iko very Clear...

Ila kwa ground mambo huwa ni tofauti kabisa... Vijana wasioe tu
 
Ndoa ni jambo jema lenye heri kinachofanyaga watu waione chungu ni vile watu kutaka kuwa ka bachelor, au kipindi cha uchumba na miezi ya mwanzo ku fake, then Ile fake zone ikiisha Sasa watu wanaonyesha true colors zao ndio malalamiko huwa chungu nzima, so ndoa ni nzuri ila ups and downs ni za kawaida so kukitokea changamoto haimaanishi ni utakatifu
Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Ndoa ni tamu ndiyo ndoa ni tamu kwan kuna mtu anabisha kwenye hilo

Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga kwa maneno matam na yenye kukutia moyo unapoenda kutafuta riziki.

Kila baada ya masaa 2 lazima haakikishe hali yako huko, ukirudi unapokelewa vizuri na maneno ya pole na ahsante. Jaman hayo ni baadhi ya mazuri ya ndoa nawashangaa mnaogopa kuoa. Mwanamke anakupa ushauri mzuri naukiufuata lazima tu ufanikiwe. Mke ndo anakuwa wa kwanza kuufariji pale unapokuwa na stress hakika tabasamu lake tu ni tiba ya mambo mengi kwangu

Vijana wenzangu tusiogope kuoa tafuta yule unaempenda na yeye anakupenda hakika siku zote hitajutia kuoa

Namalizia ndoa tamu mke ni faraja ni chanzo cha mafanikio yako.

Usiogope kuoa
Usisahau Kulete mrejesho Ukishagalagazwa Chini.. Ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom