Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Na Dr Mengi jeNi hivi unapooa mchaga lake ni moja ukiwa na mali au mashamba yeye itafikia stage atatamani wewe ufe au akuue ili mali ziwe zake pekee yake nimeshuhudia visa vingi sana vya wanawake wa kichaga sijui wamachame wanaua wanaume zao kila tamaa ya mali.
Hay makabila ukiondoa Wamakua na wamakonde wa Mtwara na Lindi, wanafuatia kwa kuwa na wanawake single Maza wengiHata Awe MSABATO, Hata awe Mlokole, Hata awe Swala 5, Ukweli ni kwamba ASILI Ya mtu ipo Palepalee.... Kuna Makabila Hata Nipewe Pesa Sintokubali kuOA Na kuishi Nao,, 1. Wachaga 2. Wahaya 3. Wanyakyusa.
Mkuu mbona kama umepaniki hapa mtaani Wachaga na wahaya tunajipigia kama Ngoma na hela hatuna.Hakuna fala anayeweza kuoa makabila tajwa hapo. Mpaka uwe smart kwanza uwe umeenda shule , halafu uwe nazo mfukoni. Kinyume na hapo utaishia kwa wasukuma n.k
Acha kuwa mkali hizi hasira za kuwa single ni hatari kwa afya yakooooo....😹Nani mjomba ako?
Alafu watu wasichokijua ni kuwa wachaga ni jina tu la kumaanisha watu wote waliokua wakiishi chini ya vichaka vya msitu wa mlima Kilimanjaro kuanzia magharibi ya mlima mpaka kuelekea mashariki ya mlima ambapo kuanzia magharibi Kuna wamachame , unaenda kati Kuna wakibosho na wauru, wa old moshi ukienda kusini mashariki Kuna wavunjo ambao inajumuisha marangu, kirua, kilema nk alafu ukielekea mashariki Kuna wasseri, wamkuu mpaka unafika maeneo ya tarakea lakini kiuhalisia watu hawa hawaendani in terms of origin, common ancestor nk, ni kama wachaga ni neno lililokuwa likijumuisha vikundi vya watu hawa lakini hawana uhusiano wa moja kwa moja wa kichimbuko na asili yao, ni kama kusema hivi wachaga wa vunjo na wa machame hawashabihiani kwa damu, chimbuko mpaka lugha ndiyo maana ni rahisi kwa mmeru wa chini ya mlima meru arusha kuelewana na mmachame kuliko kuelewana na mmarangu in terms of lugha hata chimbuko lao inasemekana kuwa ni mojaIlikuwa zamani hiyo. Longtime sana.
Hatari sanaAliyempiga risasi mke wake anaitwa Kweka.
Shamba la bwana Heri na ng'ombe ni wa bwana Heri.
Kweka ni Machame OG kama Freeman Mbowe.
Mke na mume wote ni Wachaga.Story za vijiwe vya kahawa
Nimesoma nonsense sijawah ona
Kama habar hujaisikiliza vizur usilete humu huyo aliyempiga risasi ndio mchaga Akina sisi machame usipurupuke
Mimi ni Mzaramo, ila Marehemu Rafiki Yangu Ndo Alitokea huko, Natumia Hilo Jina Kama kumuenzi, Hata hivyo hiyo ID Nitabadili.We Kashai sio mhaya kweli wewe hahahaa.. the same here, hayo makabila in that order siwezi kuoa.
Sasa kwann amselee mwanamke wakat wote ni wachagaMke na mume wote ni Wachaga.
Wahaya na Wanyakyusa Wanapenda Kumpanda Mwanaume Juu, Wana Asili ya Utawala, Ukitaka Uendane Nao inabidi uwe Mtata kidogo, Mkorofi kidogo, ila kama ni Mpole kama Nilivyo Mimi Hapana Sikushauri.... !!!Wahaya na Wanyakyusa kisa nini?
Je ushawahi lala na wa aina hiyo kuanzia 10-20 ili ulete conclusion?
Au unasikiliza maneno ya vijiweni?
Wahaya na Wanyakyusa Wanapenda Kumpanda Mwanaume Juu, Wana Asili ya Utawala, Ukitaka Uendane nao inabidi uwe Mtata kidogo, Mkorofi kidogo, ila kama ni Mpole kama Nilivyo Mimi Hapana Sikushauri.... !!!mkuu najalibu kukuelewa japo sina hakika na ulichosema. nmeoa mnyakyusa tupo fresh tu ila unaitaji kchwani uwe smart.kwa uzoefu wangu nyakyusa grl hana tamaa ya mali ila anapend sana mamlaka so ukiwa fala atakupanda kichwani..huwa namtania wf kuwa wew mnyakyusa af me mnyamwez so umekuja mahali sahihi
Ndivyo walivyo alafu wababe sana plus wana vitambi(misosi)......kyela ndio sehemu pekee nchi hii wanawake wanawapiga mpka kuwajeruhi waume zaomkuu najalibu kukuelewa japo sina hakika na ulichosema. nmeoa mnyakyusa tupo fresh tu ila unaitaji kchwani uwe smart.kwa uzoefu wangu nyakyusa grl hana tamaa ya mali ila anapend sana mamlaka so ukiwa fala atakupanda kichwani..huwa namtania wf kuwa wew mnyakyusa af me mnyamwez so umekuja mahali sahihi
Wanawake hutuita sisi mbwa lakini aisee wao ni nyika wakali wenye sumuNaandika huu uzi kutokana na tukio linalotrend mtandandaoni kuwa mume amempiga risasi ya kichwa mke kisha kajisalimisha polisi wanavyosema hao wenza walikuwa na mgogoro wa mali demu alitaka wagawane mali.
Ni hivi unapooa mchaga lake ni moja ukiwa na mali au mashamba yeye itafikia stage atatamani wewe ufe au akuue ili mali ziwe zake pekee yake nimeshuhudia visa vingi sana vya wanawake wa kichaga sijui wamachame wanaua wanaume zao kila tamaa ya mali.
Kwahiyo wewe unapojitutumua unaenda kuoa huko andika kabisa wosia mapema wale wanawake sio wanatamaa ya mali kupindukia.
Yaani upambane miaka mingi upate mali afu aje mwanamke from no where kisa ndoa eti tugawane pasu oyaa weee hua inauma *******.
hao watu kweli unawajua ni wanapenda kutawala wanaumeWahaya na Wanyakyusa Wanapenda Kumpanda Mwanaume Juu, Wana Asili ya Utawala, Ukitaka Uendane Nao inabidi uwe Mtata kidogo, Mkorofi kidogo, ila kama ni Mpole kama Nilivyo Mimi Hapana Sikushauri.... !!!
Hapo sawaUnakula Kona au unaanzisha nyumba ndogo unamwacha na familia pale,utakua unaenda kumcheki mara Moja moja ukijisikia!
Hao ni wazuri wa sura na rangi nadhani kuliko wanawake wengi tz but ni Malaya sijapata ona, jina lilinitoka nakaja kumbuka nishapost hapo juuVipi kuhusu wanyaturu mkuu na wao wanatabia kama hii?. Naulizia ili nipate kujua
Pia plus uchoyo yaani Bora amwage chakula ila si kumpatia mtu.Wapare?
Hzo kabila za moto sana aiseeHata Awe MSABATO, Hata awe Mlokole, Hata awe Swala 5, Ukweli ni kwamba ASILI Ya mtu ipo Palepalee.... Kuna Makabila Hata Nipewe Pesa Sintokubali kuOA Na kuishi Nao,, 1. Wachaga 2. Wahaya 3. Wanyakyusa.