Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

Nitakua wa mwisho kuamini kuwa ni mafunzo ndio yalisababisha.

Wamefia mafunzoni lakini bado siamini kuwa mafunzo ndio yaliyopelekea vifo vitokee.

So sad.
 
Maelezo yatolewe na jwtz sio ramli kama hizi. Hujui kilichotokea, watueleze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha siku tulikroo sehemu senyenge zimesukwa kiasi kwamba ukinyanyua mgongo kidogo tuu umeisha umbe kulikuwa hakujafanyiw usafi siku nyingi (japo ni sehemu maalum kwa kazi hiyo)kumbe kuna manyingu bhana yaani wee acha tuliipata fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…