HORSE POWER JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 2,238 Reaction score 1,577 Nov 13, 2022 #81 Ukiingia kwenye chama hiki na akili inatorokea Magharibi na wewe upo Mashariki.Unakua 'zombie'
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Nov 14, 2022 Thread starter #82 MAPITO Mwanza said: Huu ufisadi chini ya CCM SI afadhali mkoloni anaweza kua na kiasi Click to expand... Weka huo ufisadi hapa
MAPITO Mwanza said: Huu ufisadi chini ya CCM SI afadhali mkoloni anaweza kua na kiasi Click to expand... Weka huo ufisadi hapa
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 4,236 Reaction score 5,907 Nov 14, 2022 #83 Lucas mwashambwa said: Weka huo ufisadi hapa Click to expand... Basi kama hujui ufisadi uliopo huko selikalini wewe ni bendera fata upepo (Mpiga Kelele)
Lucas mwashambwa said: Weka huo ufisadi hapa Click to expand... Basi kama hujui ufisadi uliopo huko selikalini wewe ni bendera fata upepo (Mpiga Kelele)
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Nov 14, 2022 Thread starter #84 MAPITO Mwanza said: Basi kama hujui ufisadi uliopo huko selikalini wewe ni bendera fata upepo (Mpiga Kelele) Click to expand... Nimekwambia weka hapa achana na maneno ya jumla jumla
MAPITO Mwanza said: Basi kama hujui ufisadi uliopo huko selikalini wewe ni bendera fata upepo (Mpiga Kelele) Click to expand... Nimekwambia weka hapa achana na maneno ya jumla jumla
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 4,236 Reaction score 5,907 Nov 14, 2022 #85 Lucas mwashambwa said: Nimekwambia weka hapa achana na maneno ya jumla jumla Click to expand... Me nishakuambia wewe kama sio mtoto basi Kuna vitu umeaminishwa upo kuvitetea hata kama huvijui chama chakavu kimefilisi nchi hii pamoja na utajili tulionao Bado mpaka Leo watanzania wanapanga foleni kugombea maji ya visima
Lucas mwashambwa said: Nimekwambia weka hapa achana na maneno ya jumla jumla Click to expand... Me nishakuambia wewe kama sio mtoto basi Kuna vitu umeaminishwa upo kuvitetea hata kama huvijui chama chakavu kimefilisi nchi hii pamoja na utajili tulionao Bado mpaka Leo watanzania wanapanga foleni kugombea maji ya visima
Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 4,672 Reaction score 9,806 Nov 14, 2022 #86 Lucas mwashambwa said: CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, Click to expand... Wewe jamaa...! Hata nafsi yako inakusuta ila ndio hivyo tena, njaa haina adabu.
Lucas mwashambwa said: CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, Click to expand... Wewe jamaa...! Hata nafsi yako inakusuta ila ndio hivyo tena, njaa haina adabu.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Nov 14, 2022 Thread starter #87 Ngorunde said: Wewe jamaa...! Hata nafsi yako inakusuta ila ndio hivyo tena, njaa haina adabu. Click to expand... Utendaji kazi wa CCm hakika Ni wakutukuka na kizalendo
Ngorunde said: Wewe jamaa...! Hata nafsi yako inakusuta ila ndio hivyo tena, njaa haina adabu. Click to expand... Utendaji kazi wa CCm hakika Ni wakutukuka na kizalendo