Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

Ukiingia kwenye chama hiki na akili inatorokea Magharibi na wewe upo Mashariki.Unakua 'zombie'
 
Nimekwambia weka hapa achana na maneno ya jumla jumla
Me nishakuambia wewe kama sio mtoto basi Kuna vitu umeaminishwa upo kuvitetea hata kama huvijui chama chakavu kimefilisi nchi hii pamoja na utajili tulionao Bado mpaka Leo watanzania wanapanga foleni kugombea maji ya visima
 
Back
Top Bottom