HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Ukiingia kwenye chama hiki na akili inatorokea Magharibi na wewe upo Mashariki.Unakua 'zombie'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka huo ufisadi hapaHuu ufisadi chini ya CCM SI afadhali mkoloni anaweza kua na kiasi
Basi kama hujui ufisadi uliopo huko selikalini wewe ni bendera fata upepo (Mpiga Kelele)Weka huo ufisadi hapa
Nimekwambia weka hapa achana na maneno ya jumla jumlaBasi kama hujui ufisadi uliopo huko selikalini wewe ni bendera fata upepo (Mpiga Kelele)
Me nishakuambia wewe kama sio mtoto basi Kuna vitu umeaminishwa upo kuvitetea hata kama huvijui chama chakavu kimefilisi nchi hii pamoja na utajili tulionao Bado mpaka Leo watanzania wanapanga foleni kugombea maji ya visimaNimekwambia weka hapa achana na maneno ya jumla jumla
Wewe jamaa...!CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili,
Utendaji kazi wa CCm hakika Ni wakutukuka na kizalendoWewe jamaa...!
Hata nafsi yako inakusuta ila ndio hivyo tena, njaa haina adabu.