Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Hukutakiwa kuwasubiri mpaka waje ulitakiwa wakati unaandika bandiko lako ungeelezea kama wakati wa Magufuli uliwahi kutoa wazo la kupinga huo mtindo au ulinyamaza ili kuepusha mjadala usio wa lazima. Kupania kuwasubiri waje inatoa ishara kwamba unauhakika kuwa wakati wa Magufuli hukulikemea hili so ni kama una "preempt " kadamnasi kabla hawajakuwahi 🤣🤣🤣.Oh, halafu nawasubiri wale mtaosema kwa nini hatukuhoji kipindi Magufuli anaendesha vikao vya CCM Ikulu….nawasubiri kwa hamu kubwa sana!