Vikao vya CCM Ikulu vinakera

Vikao vya CCM Ikulu vinakera

Oh, halafu nawasubiri wale mtaosema kwa nini hatukuhoji kipindi Magufuli anaendesha vikao vya CCM Ikulu….nawasubiri kwa hamu kubwa sana!
Hukutakiwa kuwasubiri mpaka waje ulitakiwa wakati unaandika bandiko lako ungeelezea kama wakati wa Magufuli uliwahi kutoa wazo la kupinga huo mtindo au ulinyamaza ili kuepusha mjadala usio wa lazima. Kupania kuwasubiri waje inatoa ishara kwamba unauhakika kuwa wakati wa Magufuli hukulikemea hili so ni kama una "preempt " kadamnasi kabla hawajakuwahi 🤣🤣🤣.
 
Hukutakiwa kuwasubiri mpaka waje ulitakiwa wakati unaandika bandiko lako ungeelezea kama wakati wa Magufuli uliwahi kutoa wazo la kupinga huo mtindo au ulinyamaza ili kuepusha mjadala usio wa lazima. Kupania kuwasubiri waje inatoa ishara kwamba unauhakika kuwa wakati wa Magufuli hukulikemea hili so ni kama una "preempt " kadamnasi kabla hawajakuwahi 🤣🤣🤣.
You couldn’t be more wrong !
 
Ni bora ufunge bakuli lako maana nakujua kama nimekuzaa yaani

Wewe nyaningabu ulikua mnufaika wa utawala wa mwendazake

Wewe na wenzio 49 kutoka kanda ya ziwa kutoka kabila lenu mlipewaga favor na serikali ya mwendazake hadi ukaja nchini kwa kuchaguliwa katika mpango wa siri wa kuwachomeka wasukuma 50 katika sekta nyeti na wewe jamaa kituo chako kilikua ni ifakara bora afunge bakuli lako tu tunajua kila kitu najua mnapambana ili mumuangushe mama samia ili mpachike mtu wa kabila lenu

Hii ni tz ya makabila 120 huo usukuma gang wenu ukafie chato
You can’t be serious 🤣🤣
 
Ulikaa kimya hukulipinga.ukiwa silent kipindi cha oppression unakua upande wa oppresser.we ni miongoni mwa watu wengi mliochotwa akili na mwendazake na akawa anatembea nazo mfukoni,leo hii yupo nazo udongoni sasa ndo unakuja hapa kupiga piga kelele.

The bad news is that mwendazake is gone and the good news is that he won't lead us again.

Acha ukabila na vitisho,aya tuna kuuliza why hukulisema hili kipindi cha mtukufu jiwe??
Nilimpinga na ushahidi upo.

Unabisha?
 
Lete Ushahidi Ili Tukuamini Mkuu
Well, I got the receipt.

Hebu ona hapa nilivyomtetea Magufuli kuendesha vikao vya CCM ikulu…

 
Nikikumbuka utetezi wenu wa Hisia kwa Bwana Meko... now it's your turn bro...
Time to have your dose...
Take that!

 
Naona unajistukia mwenyewe, we dogo bana!
Najistukia nini? Take that, bitch boy.

 
Najistukia nini? Take that, bitch boy.


Ww mtoto utaacha lini hizo tabia za upunga?
 
Ndio umejua leo!? Hao huwa wanaunga mkono chochote anachosema mwenyekiti wao. Umewahi kuona wapi mtu anapata kura asilimia mia. Na wale wanaonyesha kupinga wanazuiwa kuingia kwenye vikao vya maamuzi.
🤣🤣🖕🖕🖕
 
Sasa Hapo upunga wake Ni Upi?
Hana hoja huyo! Kabaki kutukana tu.

Umeona jinsi mods walivyoziunganisha mada?

Magu nilimpinga 2017 kufanyia vikao vya CCM ikulu kama nilivyompinga Kikwete na kama nitavyompinga Samia akifanya hivyo!

Consistency!!!
 
Take that….take it up your ass and tell me if you likey 🤣🤣

Nimecheka kwa nguvu kinoma, sentensi zako ukifika kwangu ni fupi fupi tu, maana kukuchumisha matembele sio kazi.
 
Nimecheka kwa nguvu kinoma, sentensi zako ukifika kwangu ni fupi fupi tu, maana kukuchumisha matembele sio kazi.

Ziwe ndefu ili iweje? Zikukune vizuri kunakowasha?

[emoji1787][emoji1787][emoji867][emoji867]
 
Back
Top Bottom