Vikao vya CCM Ikulu vinakera

Vikao vya CCM Ikulu vinakera

Ulikaa kimya hukulipinga.ukiwa silent kipindi cha oppression unakua upande wa oppresser.we ni miongoni mwa watu wengi mliochotwa akili na mwendazake na akawa anatembea nazo mfukoni,leo hii yupo nazo udongoni sasa ndo unakuja hapa kupiga piga kelele.

The bad news is that mwendazake is gone and the good news is that he won't lead us again.

Acha ukabila na vitisho,aya tuna kuuliza why hukulisema hili kipindi cha mtukufu jiwe??
Oh yeah? Hebu rudi ukurasa wa kwanza unambie niliandika nini…
 
Wana bavicha wanavyompenda mama utavumilia matusi yao hapa?

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa! Jamaa mazuzu sana.

Hebu rudi usome ukurasa wa kwanza uone jinsi nilivyomsifia Magufuli…
 
 
View attachment 1813436

Moja kati ya matamanio yangu ya muda mrefu sasa ni kuona vikao vya CCM kufanyika Ikulu vikikoma kabisa.

Sina uhakika sana huu mtindo ulianza lini lakini nakumbuka kipindi cha utawala wa Rais Kikwete, ulishamiri sana.

Ikulu ni mahali pa shughuli za kiserikali. Siyo mahala pa shughuli za chama cha kisiasa.

Itapendeza endapo huyu Rais wetu mpya hataendelea na huo mtindo.

Akiuendeleza, tutamkosoa tu. Haogopwi mtu. Hapendwi mtu.

Tanzania kwanza.
Pole kwa msiba wa Meko..
Ameenda for good..
Nchi nzima ina furaha..
 
Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam.

Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda].

Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo.

Hii inakera sana. Siipendi kabisa mimi.

Ndiyo, inawezekana si kinyume na sheria kufanyia hivyo vikao vyao hapo ikulu.

Lakini, hata kama kwa sasa si kinyume na sheria, kufanyia vikao vya kichama kwenye mali ya serikali ya Watanzania si sawa hata kidogo. Inaleta picha mbaya ya matumizi ya mali ya umma kwa shughuli binafsi za kichama.

Muda umefika sasa wa kulifanya jambo hilo liwe ni kinyume na sheria. Ningependa kuona wabunge wote wenye nia njema, bila kujali vyama na itikadi zao, kulivalia njuga suala hili na kulitungia sheria dhidi yake ili likome.

Mambo ya vyama yawe yanafanyika huko Lumumba, Ufipa, Buguruni, na kwingineko huko. Lakini siyo ikulu.

Naamini jambo kama hili linaweza kupata idadi ya kutosha ya wabunge na kuweza kulikomesha kabisa.

Wabunge kazi kwenu sasa...hebu fanyeni kazi kwa manufaa ya Watanzania wote...walau hata kwa mara moja tu.

Soma pia > Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?
Ikulu ndiyo mahala pake Bro , hutumika na Chamatawala kwa vile mpangaji wake anatoka Chamatawala. Hii haikuanza na Magufuli tu, ilikuwapo hata wakati wa Mwinyi (CCM), Nyerere (TANU), Sir Richard Turnbull (Liberal), Sir Donald Cameron (Conservative), Sir Horace Byatt (Labour), Grossfuehrer (Gavana) von Wissman (Hitler Youth). Ila of course tutakuwa tumepanajisi tukimpeleka yuda kama tundulissu pale, au wewe unaonaje?
 
Mkuu achana nae huyo!

Nasikia hata mmewe akitaka kumpanda ana kimbia ana hisi ni mzimu wa marehemu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanang’ang’ana kusema eti keshakufa na kuzikwa lakini cha ajabu hawataki kumsahau!

Bado yupo anaishi kwenye vichwa [fikra zao] vyao.
 
Yaani unalazimisha ukabila kwa udi na uvumba. Kulikoni kamanda?
Mkuu unajua nyie haya mambo huwa mnayashabikia sana yakiwa sio ya upande wenu, wakati mnaendesha kampeni za kikabila we were getting the same feelings, sasa duhwasha linawarudia mnaona sio sawa..
Angalao mkuu Nyani Ngabu kuna kipindi aliweka hisia pembeni, na pengine hapa mengi tunamuonea ila wengi wenu mlivaa viatu vya kikabila wazi wazi na kuendesha siasa za kibabe dhidi ya wale ambao walikuwa hawawaungi mkono... .. time to take your lunch Mr.
 
Mkuu unajua nyie haya mambo huwa mnayashabikia sana yakiwa sio ya upande wenu, wakati mnaendesha kampeni za kikabila we were getting the same feelings, sasa duhwasha linawarudia mnaona sio sawa..
Angalao mkuu Nyani Ngabu kuna kipindi aliweka hisia pembeni, na pengine hapa mengi tunamuonea ila wengi wenu mlivaa viatu vya kikabila wazi wazi na kuendesha siasa za kibabe dhidi ya wale ambao walikuwa hawawaungi mkono... .. time to take your lunch Mr.
Mbona unateseka?
 
Ni bora ufunge bakuli lako maana nakujua kama nimekuzaa yaani

Wewe nyaningabu ulikua mnufaika wa utawala wa mwendazake

Wewe na wenzio 49 kutoka kanda ya ziwa kutoka kabila lenu mlipewaga favor na serikali ya mwendazake hadi ukaja nchini kwa kuchaguliwa katika mpango wa siri wa kuwachomeka wasukuma 50 katika sekta nyeti na wewe jamaa kituo chako kilikua ni ifakara bora afunge bakuli lako tu tunajua kila kitu najua mnapambana ili mumuangushe mama samia ili mpachike mtu wa kabila lenu

Hii ni tz ya makabila 120 huo usukuma gang wenu ukafie chato
DUh!🤦🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom