Nimestuka sana kusikia mh rais wangu atakutana na kamati yake ya chama ikulu ,nani huyu anamshauri haya jamani? Chama chochote kikitumia majengo ya serikali inapaswa kuwa imeyakodisha ,au serikali hukodisha kwa taasisi mbali mbali.
Ccm mali ya wana ccm tu,ikulu ni Mali ya watanzania ,mama anasema tufanye siasa za heshima tumesikia ,ila hata wiki haijaisha anamuiga mwendazake tena.
Mm sasaivi naamini kwenye hotuba yako LAKINI NAANGALIA MATENDO YAKO KAMA YA ENDANA ,ADUMU RAIS WA TAIFA LA TANZANIA MAMA SULUHU
Mama siku nyingine kafanyieni hotel au kwenye kumbi ambazo ni mali ya chama .wewe ni mwenyekiti wa ccm,kile kikao hakiwahusu watanzs
View attachment 2047956