KERO Vikindu: Barabara inayotumiwa na wakazi wa Njia Nne, Kilongoni na Mwema ni mbovu sana, ifanyiwe ukarabati

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tunakosa hata huduma ya Bajaj na Daladala sababu ya njia mbovu, hutulazimu kutumia bodaboda na kukatisha kwenye viwanja vya watu. Mamlaka zinazohusika na Miundombinu hii ziangalie namna ya kutusaidia Wananchi tunaoishi maeneo ya huku tunapata changamoto kubwa kupita.

Ikitokea una dharura kama ni ya mgonjwa inabidi apande Bodaboda wakati wa mvua hata hizo Bodaboda nazo ni shughuli kuzipata.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…