Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

Mkuu umelenga mlemle! Wanawake wanadinywa sana kisa vicoba. Kuna mwanamke mmoja hapa mtaani ana marejesho ya f30 kila wiki. Basi ukimpa f5 tu anainama mnamalizana. Akiinamishwa na watu 6 tu pesa ya rejesho inatimia anasubiri ainamishwe tena wiki ijayo. Na hii ndio ratiba yake hadi marejesho yaishe atakuwa kazalishwa na mwanaume asiyemjua.
 
Hapo unaenda kwenye mada wanaojiuza nikiangalia hii mada ni wanawake kwenye ndoa wanaojirahisisha Kwa wanaume wengine Ili kulipa maden Yao

Mi naongelea waliopo kwenye ndoa na pia wale ambao wanafurahia pesa za wanaume sababu wanaona ni rahisi kuzipata (Hawa ni wanaojiuza)
 
Kama ni mtafutaji sio hela yakumfanya mwanamke kujiuza hao wanaomba omba ni kwamba wanapenda vya Bure mie nasema 20k sio hela kwangu sababu najua kuzichanga
Nikupe basi mil 2 uzichange uwe unaniletea buku kumi tuu kwa siku
 
Hahahaa eti hatuna hela, role model wako ni singo maza anaebadilisha buzi kwa misimu na alierekodiwa akiomba mganga amsaidie ili apendwe, hongera.. japo hujajibu kama 20k ndogo kwako ngapi nyingi??

There are levels to this, we nione sina hela me nkuone huna maadili πŸ‘ kwahyo members wa kike waliokubali ukweli huko juu wote mazombie tu we ndo mwerevu eh
 
Hamisa ni role modal wangu nimesema?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro usinichekeshe sijuag kumjudge mtu Kwa mambo yake sijui aliyopitia au anayopitia na Kwa nin anafanya Ivo
.kingine kua singo mama sio kosa la jinai kwamba ni mkosefu zaid yetu hata wewe unadhambi zako binafsi sie hatuzijui
Swala la mganga sifaham labda sababu simfatilii zaid yakuona watu wakipost habar zake juu Kwa juu wewe unafatilia maisha yake utakua unayajua mengi ndo maana unamjudge Kwa undan zaid

Nasema hamna hela Kwan huyo mwanaume aliyekua na hamisa hajaona wanawake wengine Ili wakale pesa zake? Hajaona hao bikra?? Hajaona hawao ambao sio singo mama? Kawaona ila ndo kapenda na matumizi ya pesa zake anatumia na huyo hamisa
Huyo hajiuzi narudia hajiuzi huyo mwanaume kaamua kutumia pesa zake kwake hakuna aliyemshikia silaha kwamba atumie pesa kwake achen kukariri maisha

Eeh mwaya 20k hainitoshi kabisa unataka niongezea bei gan?
 
Kama Kuna mavitu sipendi ni hayo mavikobaa .. sipendi stress Mimi nimelizika na kipatoo changuu...
 
P
WEwe umemdharau mwanamke kulala na mtu kisa 20K, mimi nimekuuliza akilala na mtu kisa 100K ni sawa.?
Au 500K, au 1m?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na unajibu unavojisikia kama yule mwingine, anajilengesha kabisa eti unamuuliza mbona una mizunguko kona kona wewe? Dah sawa King Solo
rate yangu ya kupima maradhi ni 90% mkuu..

siku zao zote za marejesho nazijua. Jumatatu hadi Alhamisi..

mapumziko ni Friday to sunday..

Hawa kina mama ni Hatari sana usipokuwa makini..

Huyu ningemla kwa elfu moja tu😭😭😭
 
Sema ma msg ya mwaka jana mwez wa 11 hufuti unakuaga unayapitia pitia eh kuangalia msururu wa wadeni wako waliovua chupi 🀣🀣 huyo dem kaomba 1000 kulaleki njaa hizi
 
Sema ma msg ya mwaka jana mwez wa 11 hufuti unakuaga unayapitia pitia eh kuangalia msururu wa wadeni wako waliovua chupi 🀣🀣 huyo dem kaomba 1000 kulaleki njaa hizi
na ni pisi kinoma basi,
wengine wanaweza kukupa Mbunye for FREE ili akirudi tena akupige hela ya kueleweka..
 
Yaan mimi kuanzia alhamis, ijumaa basi tarajia simu tu za madem kusumbua.

Mimi mama watoto wangu nimempiga marufuku na nimemwambia hakunaga siri, siku nikikubamba ndio siku hiyohiyo kwenu
 
Kuna demu ni mzuri hataree mtaani hapa nilichoka nikiposikia boda wanajisevia kwa buku mbili tuu, akipata wa maana ni efu 15 😳. dada rangi ya mtume tako kama lote nashindwa kuelewa inakuwaje jamani anakuwa cheap kiasi hicho kisa michezo na marejesho.
 
Michezo na marejesho ni Janga kuu kwa wanawake wa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…