Vikosi maalum vya Israel vyavamia 'eneo la makombora' nchini Syria

Mbona Iran inaikana hii habari?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Au wamerudia propaganda zao??
 
Hata lile la Ismael Haniye wangesema ni uongo ila kwasababu ni kifo hawakuweza kukanusha
La Ismail Haniyeh na hili ni tofauti.
Hii habari ina ukakasi.
Kwasababu huwezi ukaleta helikopta hadi ndani ya mipaka ya nchi nyingine na wao wasi react aisee.
Usichukulie watu viazi tunajielewa.
 
Mbona haiingii akilini, Eneo muhimu kama hilo inawezekana vipi kukosa ulinzi wakueleweka kiasi kwamba Adui awezekuingia kwa muda mfupi tu na kulitawala!?
 
La Ismail Haniyeh na hili ni tofauti.
Hii habari ina ukakasi.
Kwasababu huwezi ukaleta helikopta hadi ndani ya mipaka ya nchi nyingine na wao wasi react aisee.
Usichukulie watu viazi tunajielewa.
Kwamba ndani ya muda mfupi waisrael walifanikiwa kuliteka eneo muhimu sana tena la kijeshi na wakapata muda wakufanya watakalo bila kupoteza hata askari wao mmoja!? Basi sawa!
 
Kwamba ndani ya muda mfupi waisrael walifanikiwa kuliteka eneo muhimu sana tena la kijeshi na wakapata muda wakufanya watakalo bila kupoteza hata askari wao mmoja!? Basi sawa!
Halafu eneo lenyewe ni nchi nyingine tofauti na Israel na wamefika na helikopta inawateremsha taratiiibuuu kabisa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata hapa Tz maeneo ya pwani hasa Zbar, Mombasa na Tanga ndio wanaongoza kwa uchafu wa sodoma na Gomorrah
Kabisa mkuu,
Hapo Zenji tu "wakosa visogo" hadi maimamu wanamiliki wasenge lukuki, hawana habari na warembo...
 
Bado hawajampata Sinwar na mateka wao zaidi ya 100.
Ni suala la muda tu hakuna jiwe litaachwa juu ya jiwe, rejea ile operation yao ya kulipiza kisasi dhidi ya mauaji ya Munich kwenye michezo ya Olimpiki mwaka 1972. Mossad wakiamua jambo lao wameamua.
 
La Ismail Haniyeh na hili ni tofauti.
Hii habari ina ukakasi.
Kwasababu huwezi ukaleta helikopta hadi ndani ya mipaka ya nchi nyingine na wao wasi react aisee.
Usichukulie watu viazi tunajielewa.
Unazungumzia nchi gan mkuu. Hii Syria ambayo kila siku ndege za Israel zinashinda huko. Ungesema ile Syria ya miaka ile sio hii kila kipande cha nchi kina kundi linatawala.
 
Unazungumzia nchi gan mkuu. Hii Syria ambayo kila siku ndege za Israel zinashinda huko. Ungesema ile Syria ya miaka ile sio hii kila kipande cha nchi kina kundi linatawala.
Fighter jet sio sawa na chopper/helikopta.
Tena fighter jet huwa zikija hapo dakika zimepotea baada ya kushambulia.
Sio sawa na hili la helikopta kuja huku linashusha watu taratibu hadi wanashuka na kushambulia.
Tena eneo lenyewe ni nyeti na sio tu nyeti bali Iran ndio analisimamia.
Embu msituone sisi mapunguani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…