Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hizo habari mimi nilijua fake ndo mana hata sikutaka kujibu utumbo wa hi mada. Israel analia huko anasema Yemen anataka kuwashambulia kwa kutumia ground force. Israel wanasema Al Houth wako Syria wanafanya mazoezi ya kutumia tunnels na vipi namna watakavyo vamia base za Israel. Wacha mwenye mada na wafuasi wa 1=3 wajifurahishe 😄La Ismail Haniyeh na hili ni tofauti.
Hii habari ina ukakasi.
Kwasababu huwezi ukaleta helikopta hadi ndani ya mipaka ya nchi nyingine na wao wasi react aisee.
Usichukulie watu viazi tunajielewa.