Vikosi maalum vya Israel vyavamia 'eneo la makombora' nchini Syria

Vikosi maalum vya Israel vyavamia 'eneo la makombora' nchini Syria

mashoga mnatakiwa muelewe magaii haturudi nyuma na hatutaisha milele daima mpk ushoga utokomee duniani
Nani kaongelea ushoga au wewe mwenyewe nilishoga unafikiri wote kama wewe sasa magaidi kama magaidi wenzio hawarudi nyuma mbona mnalia lia dunia imewatenga mnaposhushia kipondo na israel hivi mnapigana au mnapigwa mbona mimi sielewi maana gaza imegeuka majivu
 
Wakati unaropoka huo utumbo Israel kaskazini HAINA MKAAZI HATA MMOJA.
Wamehama kwa kukwepa mabomu ya Hizbollah.
Sasa huo ni ushindi kwa kwa nyie magaidi jeshi bora linalinda raia wake ila nyie magaidi mnajikinga na raia ndio maana israel imeondoa raia wake wasipande madhara ila magaidi kama hamas wanawazuia raia wasihame ili wajikinge nao
 
Sasa huo ni ushindi kwa kwa nyie magaidi jeshi bora linalinda raia wake ila nyie magaidi mnajikinga na raia ndio maana israel imeondoa raia wake wasipande madhara ila magaidi kama hamas wanawazuia raia wasihame ili wajikinge nao
Lete ushahidi wa raia kukatazwa na Hamas kuhama!?
Israel iliwahamisha raia na kuwapeleka Khani Younis,na Hamas wapo Central na Northen Gaza.
Wao wakawa wanashambulia hadi Khani Younis.Ilipelekea hadi kumuua French consulate official.
Haijatosha wakawahamisha Rafah.
Bado kule kule Rafah wakawa wanawalipua hao raia ilhali Hamas kule hawapo.
Ilipelekea kuua hadi raia wanne wa USA walioenda kupeleka msaada wa chakula Rafah.

Lete ushahidi wa Hamas kuzuia raia kuhama.
 
Uvamizi huo umefanywa na vikosi maalum vya Israel kwenye "kituo cha kutengeneza makombora cha Hezbollah" nchini Syria.

Serikali ya Israel haijasema lolote kuhusu operesheni hiyo ambayo kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Marekani, ilifanyika mwanzoni mwa wiki.

Vyombo vya habari vya serikali ya Syria vinasema watu 18 waliuawa siku ya Jumatatu katika uvamizi huo karibu na mji wa Masyaf nchini Syria - karibu maili 25 (kilomita 40) kaskazini mwa mpaka wa Lebanon - na wenginekadhaa walijeruhiwa.

Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, vikosi maalum vya Israel vilishuka kutoka kwa helikopta, kuweka vilipuzi ndani ya kituo kilichojengwa na Iran na kuondoka na stakabadhi zenye taarifa nyeti.

Maafisa wa Marekani na wengine walionukuliwa kwenye gazeti hilo wanachora taswira ya operesheni ya kijasiri, iliyoundwa kuharibu kituo cha kijeshi cha chinichini.

Mashambulizi ya anga yalitumika kupunguza ulinzi wa Syria na kuzuia uimarishaji kufikia eneo hilo.

Kwingineko, ripoti ya tovuti ya habari ya Axios - ikinukuu vyanzo vitatu vinavyosemekana kufahamu operesheni hiyo - inasema kitengo maalum cha Shaldag cha Jeshi la Wanahewa la Israel kilifanya uvamizi huo.

Axios pia inaripoti kuwa Israel iliiarifu Marekani kabla ya operesheni hiyo kupangwa na kufanyika, na haikukabiliwa na upinzani wowote kutoka Ikulu ya Marekani.

BBC bado haijaweza kuthibitisha ripoti hizi kwa njia uhuru.

Serikali ya Israel haijatoa maoni yoyote, lakini uvamizi huo unaonekana kuwa umeundwa ili kuzuia Iran kusambaza makombora ya usahihi kwa Hezbollah, mshirika wake wa Lebanon na wakala.

Israel ilishambulia kituo hicho miaka sita iliyopita na imetekeleza makumi ya mashambulizi ya anga dhidi ya Syria tangu vita vya Gaza kuanza karibu mwaka mmoja uliopita.

Lakini, kuweka wanajeshi wa Israel ndani ya Syria ni jambo lisilo la kawaida.

Hii itakuwa moja ya operesheni ya kisasa zaidi ya aina yake katika miaka.
Source.
NY. Times
BBc
Ilibidi makomandoo wateule washuke kwasababu walijenga chini ya ardhi ambapo makombora yasingeharibu mahandaki hayo ya kigaidi. Na kabla ya kuchukua documents na vifaa vingine akaweka vilipuzi na walipoondoka kukalipuka muajemi wakabaki kushangaa hawa ni binadamu wa ajabu wa aina gani.

T14 Armata
 
Ilibidi makomandoo wateule washuke kwasababu walijenga chini ya ardhi ambapo makombora yasingeharibu mahandaki hayo ya kigaidi. Na kabla ya kuchukua documents na vifaa vingine akaweka vilipuzi na walipoondoka kukalipuka muajemi wakabaki kushangaa hawa ni binadamu wa ajabu wa aina gani.

T14 Armata
Hao Syria wanatumika kinyume na maslahi yao. Wanaingia hasara ya bure kisa Iran
 
Wakati unaropoka huo utumbo Israel kaskazini HAINA MKAAZI HATA MMOJA.
Wamehama kwa kukwepa mabomu ya Hizbollah.
Wewe ni mfia dini?
 

Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
Kwamba ndani ya muda mfupi waisrael walifanikiwa kuliteka eneo muhimu sana tena la kijeshi na wakapata muda wakufanya watakalo bila kupoteza hata askari wao mmoja!? Basi sawa!
Israel inambinu mashallah. Waarabu tuna jambo la kujifunza hapa.
 
Fighter jet sio sawa na chopper/helikopta.
Tena fighter jet huwa zikija hapo dakika zimepotea baada ya kushambulia.
Sio sawa na hili la helikopta kuja huku linashusha watu taratibu hadi wanashuka na kushambulia.
Tena eneo lenyewe ni nyeti na sio tu nyeti bali Iran ndio analisimamia.
Embu msituone sisi mapunguani.
Unazijua helcopta za apatche wewe?
Muulize pakistan ndo anajua utamu na machungu ya hizi helcopta hata alquaeda wanazijua. Kukubali au kukataa hizo sio shida zetu.
 
Back
Top Bottom